• Watu milioni 40 ni waathirika wa utumwa duniani kote

    Watu milioni 40 ni waathirika wa utumwa duniani kote

    Dec 03, 2018 03:15

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kazi Duniani, ILO, linasema utumwa bado ni tatizo kubwa linalowathiri zaidi ya watu milioni 40 duniani kote, watoto wakiwa ni robo ya idadi nzima. Hayo yanajiri pamoja na uwepo wa itifaki ya kuzuia hali hiyo ya kulazimishwa kufanya kazi iliyofikiwa mwaka 2016.

  • Jeshi la Israel lazongwa na tatizo la kutoroka askari jeshini

    Jeshi la Israel lazongwa na tatizo la kutoroka askari jeshini

    Nov 17, 2016 11:39

    Makamanda wa jeshi la utawala ghasibu wa Israel wameeleza wasiwasi wao mkubwa kutokana na wimbi la kutoroka askari katika jeshi la nchi hiyo na mwenendo wa tabaka la vijana kuhepa suala la kutoa huduma jeshini.

  • Wanasiasa wa Marekani ni watumishi wa utawala wa Kizayuni

    Wanasiasa wa Marekani ni watumishi wa utawala wa Kizayuni

    Feb 22, 2016 00:08

    Mchambuzi mmoja maarufu wa nchini Marekani amesema kuwa, wanasiasa wa Marekani wapo kwa ajili ya kuutumikia utawala wa Kizayuni wa Israel.