-
Bunge la Kuwait lapinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel
Dec 01, 2022 04:01Wabunge wa Kuwait wamepinga vikali hatua yoyote ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Al Sudani afanya mazungumzo na mrithi wa kiti cha ufalme wa Kuwait
Nov 24, 2022 02:24Waziri Mkuu wa Iraq amekutana na kufanya mazungumzo na mrithi wa kiti cha ufalme wa Kuwait na kusisitiza juu ya ulazima wa kuimarisha uhusiano kati ya nchi mbili.
-
Kuwait: Israel inapaswa kuweka vituo vyake vya nyuklia chini ya usimamizi wa IAEA
Nov 12, 2022 07:34Kwa mara nyingine tena Kuwait imeutaka utawala haramu wa Israel ujiunge na Mkataba wa Kuzuia Usambazaji wa Silaha za Nyuklia (NPT) na kuweka vituo vyake vyote vya nyuklia chini ya mfumo wa usimamizi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).
-
Makampuni ya Oman na Kuwait yajiondoa kwenye maonyesho ya Bahrain kuisusia Israel
Nov 04, 2022 06:44Shirika la ndege la bei nafuu la Oman na Benki ya Kiislamu ya Kuwait zimeamua kujiondoa katika maonyesho yajayo ya Kimataifa ya Anga ya Bahrain (BIAS) baada ya kubaini wajumbe kutoka makampuni ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel watashiriki katika maonyesho hayo, ikiwa ni hatua ya kuonyesha mshikamano na uungaji mkono kwa Palestina.
-
Raisi: Uvurugaji wa maadui hauwezi kutikisa irada ya Iran ya ustawi na ushirikiano
Oct 27, 2022 07:57Rais wa Jamhuri ya Kiislamu amepokoea vitambulisho vya balozi mpya wa Kuwait nchini Iran na kusisitiza kuwa mchakato wa udugu na ustawi wa ushirikiano wa kieneo ni ajenda kuu ya sera za kigeni za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika eneo na kuongeza kuwa, uvurugaji wa maadui hauwezi kuvuruga mchakato huo.
-
Athari za mashambulio ya Yemen zinaendelea, Wakuwait wakatazwa kutumia drone Imarati
Aug 12, 2022 02:24Athari za mashambulio ya kulipiza kisasi na ya kujihami ya wananchi wa Yemen dhidi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) bado zingalipo na sasa serikali ya Kuwait imewataka wananchi wake wasitumie ndege yoyote isiyo na rubani wanapokuwa nchini Imarati, ili wasije wakajiingiza kwenye matatizo.
-
Kuwait: Tutaendelea kuisusia Israeli na makampuni yanayoshirikiana nayo
Aug 02, 2022 01:11Kuwait imetangaza kuwa itaendelea kuisusia Israel, bidhaa zake na makampuni yanayoshirikiana nayo. Hayo yametangazwa katika Mkutano wa Maafisa wa Ofisi za Kikanda za Kuisusia Israel.
-
Jumanne tarehe 19 Julai 2022
Jul 19, 2022 02:38Jumanne tarehe 19 Dhulhija 1443 Hijria inayosadifiana na tarehe 19 Julai mwaka 2022.
-
Jumapili, Juni 19, 2022
Jun 19, 2022 02:21Leo ni Jumapili mwezi 19 Mfunguo Pili Dhul-Qaadah mwaka 1443 Hijria, mwafaka na tarehe 19 Juni mwaka 2022 Miladia.
-
Kuwait yachukizwa na hatua ya balozi wa Marekani kutetea maingiliano ya kimwili ya watu wa jinsia moja
Jun 04, 2022 04:13Wizara ya Mambo ya Nje ya Kuwait imemwita balozi mdogo wa Marekani nchini humo kufuatia hatua ya ubalozi wao kutoa matamshi ya kutetea na kuunga mkono maingiliano ya kimwili ya watu wa jinsia moja.