-
Raisi: Uhusiano wa Iran na Kuwait unarejea katika hali yake ya kawaida
May 04, 2022 08:17Rais wa Iran ameutaja msimamo imara wa Kuwait mkabala wa njama mbalimbali katika eneo la Magharibi mwa Asia kuwa makini; na huku akikumbushia uhusiano mzuri kati ya Iran na Kuwait huko nyuma, amesisitiza kuwa, uhusiano wa pande hizo mbili zikiwa nchi mbili marafiki wa muda mrefu, unapasa kurejea katika uwezo wake halisi.
-
Saudia na Kuwait kuwarejesha mabalozi wao Lebanon
Mar 25, 2022 02:29Saudi Arabia na Kuwait zimeamua kuhuisha uhusiano wao wa kidiplomasia na Beirut, ambao uliingia doa mwaka jana kufuatia matamshi ya ukosoaji aliyotoa aliyekuwa waziri wa habari wa Lebanon kuhusiana na uchokozi na uvamizi wa kijeshi wa muungano wa kivita wa unaoongozwa na Saudia dhidi ya Yemen.
-
Kuwait yataka Israel ifukuzwe katika Umoja wa Mabunge Duniani
Mar 20, 2022 03:52Spika wa Bunge la Kuwait amekosoa sera za undukumakuwili za Jamii ya Kimataifa kuhusu utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kutaka ujumbe wa utawala huo utimuliwe katika kikao cha Umoja wa Kimataifa wa Mabunge.
-
Kuwait yapiga marufuku filamu ya 'Death on the Nile' iliyoigizwa na Muisraeli
Feb 08, 2022 02:49Kuwait imepiga marufuku kuonyeshwa kwa filamu ya Kimarekani ya Death on the Nile, iliyotengenezwa kutoka kwenye riwaya yenye majina ya Agatha Christie na kuchezwa na mwigizaji wa Israel, Gal Gadot.
-
Hamas yamshukuru mcheza tenisi Mkuwaiti aliyekataa kucheza na Mzayuni
Jan 29, 2022 10:23Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imempongeza mcheza tenisi wa Kuwait aliyekataa kucheza na mwakilishi wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
HAMAS yapongeza hatua ya Kuwait ya kuzipiga marufuku meli za Israel
Dec 06, 2021 07:10Harakati ya Mapambano ya Palestina (HAMAS) imepongeza na kukaribisha kwa mikono miwili hatua ya serikali ya Kuwait ya kuzipiga marufuku meli za kibiashara zinazobeba bidhaa za utawala wa Kizayuni wa Israel kutia nanga katika bandari za nchi hiyo.
-
Kuwait yapiga marufuku meli za Israel kutia nanga nchini humo
Dec 05, 2021 06:19Serikali ya Kuwait imezipiga marufuku meli za kibiashara zinazobeba bidhaa za utawala wa Kizayuni wa Israel kutia nanga katika bandari za nchi hiyo au kubeba bidhaa kutoka Kuwait kuelekea Israel.
-
Kuwait: Palestina ingali maudhui kuu na ya msingi katika ulimwengu wa Kiislamu
Sep 26, 2021 04:35Waziri Mkuu wa Kuwait amesema kuwa, Palestina ingali maudhui kuu na ya asili katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Israel inajenga kituo cha kijeshi kwenye mpaka wa pamoja wa Saudia na Imarati
Aug 13, 2021 02:25Mtafiti mmoja wa Qatar amefichua kuwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unajenga kituo cha kijeshi kwenye mpaka wa pamoja wa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu, Imarati.
-
Jumatatu tarehe 19 Julai 2021
Jul 19, 2021 01:20Leo ni Jumatatu tarehe 8 Mfunguo Tatu Dhulhija 1442 Hujria sawa na Julai 19 mwaka 2021.