-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu awapongeza Wakristo kwa mnasaba wa kuzaliwa Isa Masih
Dec 26, 2024 03:24Ukurasa wa lugha ya Kiingereza wa Ofisi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei, katika mtandao wa kijamii wa X umechapisha ujumbe wake kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa Nabii Isa Masih (as).
-
Kuzaliwa kwa Nabii Isa Masih (as)
Dec 24, 2023 07:44Disemba 25 inasadifiana na siku aliyozaliwa Masih Isa bin Maryam (AS) kwa mujibu wa imani ya Wakristo waliowengi.
-
Kumbukumbu ya kuzaliwa Nabii Issa Masih (as)
Dec 30, 2022 07:34Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasiklilizaji popote pale mlipo. Karibu kkutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujienii kwa mnasaba wa kukumbuka kuzaliwa Nabii Issa Masih (as) Mtume na mja wa Mwenyezi Mungu. Nataraji mtakuwa pamoja nami hadi mwisho wa dakika hizi chache. Karibuni.
-
Kiongozi Muadhamu awatakia kheri Wakristo katika sherehe zao za X-Mass
Dec 25, 2020 23:27Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewatumia ujumbe Wakristo wa Iran na duniani kwa ujumla akiwatakia kheri katika sherehe zao wa X-Mass.
-
Ijumaa, 25 Dsemba, 2020
Dec 24, 2020 23:02Leo ni Ijumaa tarehe 10 Mfunguo Nane Jamadil-Awwal 1442 Hijria sawa na tarehe 25 Desemba 2020 Miladia.
-
Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Iran atuma salamu za heri ya Krismasi na mwaka mpya
Dec 24, 2019 23:24Mkuu wa Kamandi ya Majeshi Yote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia salamu makamanda wa ngazi za juu wa majeshi ya nchi za Wakristo duniani kwa munasaba wa siku kuu ya kuadhmisha kuzaliwa Nabii Issa Masih (amani iwe juu yake) maarufu kama Krismasi.
-
Salamu za Rais wa Iran kwa munasaba wa uzawa wa Nabii Isa AS
Dec 25, 2018 02:57Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo ametuma salamu kwa viongozi wa nchi za Wakristo na Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani kwa mnasaba wa sherehe zao za kumbukumbu ya kuzaliwa Nabi Isa AS na mwaka mpya 2019 Miladia.