-
Maelfu waandamana Italia kuishinikiza Rome isiunge mkono vita vya Ukraine
Nov 06, 2022 03:48Maelfu ya wananchi wa Italia wamefanya maandamano katika mji mkuu Rome, kulalamikia hatua ya serikali ya nchi hiyo ya kuunga mkono vita vinavyoendelea Ukraine.
-
Wasudani waendeleza mandamano kupinga utawala wa kijeshi
Oct 26, 2022 04:07Maandamano makubwa dhidi ya serikali ya kijeshi nchini Sudan kwa mara nyingine tena yamesababisha mapigano makali kati ya askari usalama na waandamanaji.
-
Wanaopinga 'Brexit' waandamana wakitaka UK ijiunge tena na EU
Oct 24, 2022 00:30Makumi ya maelfu ya watu wamefanya maandamano katika mji mkuu wa Uingereza, London wakishinikiza nchi hiyo irejee katika Umoja wa Ulaya.
-
Wataliano waandamana dhidi ya serikali; wataka kutatuliwa mgogoro wa nishati
Oct 16, 2022 07:14Wananchi wa Italia wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya nchi hiyo, kulalamikia hatua ya serikali ya nchi hiyo kushindwa kutafutia ufumbuzi mgogoro wa nishati unaowakabili.
-
Maelfu waandamana Paris wakitaka Ufaransa iondoke NATO
Oct 09, 2022 23:16Makumi ya maelfu ya watu wamefanya maandamano katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris, wakishinikiza nchi hiyo ijiondoe katika Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO).
-
Abdollahian: Serikali itakabiliana na wafanya fujo, magaidi kwa misingi ya sheria
Oct 06, 2022 04:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameuonya Umoja wa Ulaya dhidi ya kuingilia masuala ya ndani ya Jamhuri ya Kiislamu na kusisitiza kuwa, serikali ya Tehran itakabiliana na wafanya fujo na magaidi kwa kuzingatia misingi ya sheria za nchi hii.
-
Waislamu London walaani kuvunjiwa heshima thamani za Kiislamu
Oct 02, 2022 04:08Waislamu wanaoishi London, mji mkuu wa Uingereza wamefanya maandamano ya kulalamikia vitendo vya kuvunjiwa heshima thamani za Kiislamu na chokochoko dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Maelfu waandamana Uingereza kulalamikia gharama za juu za maisha
Oct 02, 2022 04:00Maelfu ya watu wamefanya maandamano katika miji mbalimbali ya Uingereza, kulalamikia mgogoro wa mfumko wa bei na kupanda kwa gharama za maisha.
-
"Ni kinaya kwa wenye uraibu wa vikwazo kudai wanawahurumia Wairani"
Sep 28, 2022 04:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa undumakuwili wa Marekani ambayo inadai kuwa ina huruma na mapenzi na wananchi wa Iran, wakati ambapo imeliwekea taifa hili vikwazo shadidi.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: "Adui anachochea machafuko;" maandamano ya kulaani fujo yafanyika kote nchini
Sep 23, 2022 08:45Wananchi wa Tehran na wa maeneo mengine yote ya Iran leo baada ya Sala za Ijumaa, wameshiriki kwa wingi katika maandamano makubwa ya kulaani magenge ya wanaofanya fujo, kuchoma mali za uma, kuvunjia heshima matukufu ya kidini na kijamii ya wananchi wa Iran.