Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Magharibi

  • Kifo cha Gorbachev na mafunzo ya kihistoria

    Kifo cha Gorbachev na mafunzo ya kihistoria

    Aug 31, 2022 10:26

    Mikhail Gorbachev, kiongozi wa mwisho wa Shirikisho la Sovieti, alifariki dunia Jumanne usiku akiwa na umri wa miaka 91 katika hospitali moja mjini Moscow baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kifo cha Gorbachev kimekabiliwa na hisia nyingi za ndani na nje, ambapo Rais Vladimir Putin wa Russia, maafisa wa UN na Katibu Mkuu wake na wakuu kadhaa wa nchi, wametuma salamu za rambirambi.

  • Russia: Mashambulizi dhidi ya Syria yamefichua undumakuwili wa Magharibi

    Russia: Mashambulizi dhidi ya Syria yamefichua undumakuwili wa Magharibi

    Aug 31, 2022 02:22

    Balozi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amelaani vikali mashambulio haramu ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria na kusisitiza kuwa, hujuma hizo zimefichua sura halisi ya Wamagharibi likija suala la haki za binadamu.

  • Wamagharibi wakosolewa kwa undumakuwili juu ya vita Ukraine na Gaza

    Wamagharibi wakosolewa kwa undumakuwili juu ya vita Ukraine na Gaza

    Aug 14, 2022 07:25

    Harakati inayopinga dhulma na ukandamizaji wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina imekosoa vikali undumakuwili wa nchi za Magharibi kuhusu vita nchini Ukraine kwa upande mmoja na katika Ukanda wa Gaza, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu kwa upande mwingine.

  • Kazi kubwa iliyofanywa na Jamhuri ya Kiislamu ya kubatilisha fikra kuu ya Magharibi ya kutenganisha Dini na Siasa

    Kazi kubwa iliyofanywa na Jamhuri ya Kiislamu ya kubatilisha fikra kuu ya Magharibi ya kutenganisha Dini na Siasa

    Jul 29, 2022 10:35

    Siku ya Jumatano ya tarehe 27 Julai, ambayo ilisadifiana na maadhimisho ya kusaliwa Sala ya kwanza ya Ijumaa kote nchini Iran baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Maimamu wa Sala Ijumaa kutoka kila pembe ya nchi walikwenda kuonana na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Husainiya ya Imam Khomeini (MA).

  • Mwisho wa Ulimwengu wa Kikristo

    Mwisho wa Ulimwengu wa Kikristo"... Je, nchi za Magharibi zinarudi kwenye upagani?

    Jul 25, 2022 11:30

    Mwandishi na mwanafalsafa wa Ufaransa, Chantal Delsol anasema kwamba ustaarabu unaotegemea mila na sheria za imani ya Kikristo umenyauka tangu mwisho wa karne ya 20, kwa sababu Ukristo unazidi kutoweka kama marejeo makuu ya sheria, desturi na maadili, baada ya kkutawala Uulaya na Magharibi kwa karibu karne 16.

  • Russia yatishia kusimamisha uuzaji wa mafuta yake nje ya nchi

    Russia yatishia kusimamisha uuzaji wa mafuta yake nje ya nchi

    Jul 21, 2022 11:39

    Russia imetishia kuwa itaacha kuuza mafuta yake ghafi nje ya nchi hiyo iwapo nchi za Magharibi zitatekeleza mpango wao wa kuweka kibano katika bei ya mauzo ya bidhaa hiyo.

  • Russia: Kuondolewa vikwazo na Magharibi kutapelekea kushuka bei za vyakula na nishati duniani

    Russia: Kuondolewa vikwazo na Magharibi kutapelekea kushuka bei za vyakula na nishati duniani

    Jul 12, 2022 07:18

    Waziri wa fedha wa Russia amesema, kuondolewa vikwazo na Magharibi dhidi ya nchi hiyo kutapelekea kushuka bei za vyakula na nishati duniani na akafafanua kwamba, kuhusu ni kwa muda gani bei za nishati na vyakula zitaendelea kuwa za juu, hilo litategemea na muda vitakaochukua vikwazo vilivyowekwa na Magharibi.

  • Waziri wa Ulinzi wa Russia: Magharibi imeipatia Ukraine tani 28,000 za silaha

    Waziri wa Ulinzi wa Russia: Magharibi imeipatia Ukraine tani 28,000 za silaha

    Jul 06, 2022 05:53

    Waziri wa Ulinzi wa Russia amesema kuwa, nchi za Magharibi zinaendelea kutuma silaha nchini Ukraine kwa kisingizio cha kurefusha vita na hadi sasa zimepeleka zaidi ya tani elfu 28 za silaha huko Ukraine.

  • Russia yasambaratisha ghala kubwa la silaha za Magharibi nchini Ukraine

    Russia yasambaratisha ghala kubwa la silaha za Magharibi nchini Ukraine

    Jun 13, 2022 03:15

    Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa jeshi la nchi hiyo limesambaratisha ghala kubwa la silaha za nchi za Magharibi katika vita vinavyoendelea nchini Ukraine.

  • Russia yaonya kuhusu uwezekano wa makabiliano ya moja kwa moja ya kijeshi na kambi ya Magharibi

    Russia yaonya kuhusu uwezekano wa makabiliano ya moja kwa moja ya kijeshi na kambi ya Magharibi

    Jun 11, 2022 02:23

    Russia imezionya nchi za Magharibi kuwa hujuma ya kiintaneti dhidi ya miundomsingi yake ni jambo ambalo litaibua hatari ya kutokea makabiliano ya moja kwa moja ya kijeshi. Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetoa taarifa na kusema kuwa, miundomsingi ya kijeshi na ya baadhi ya taasisi za kiserikali nchini humo imekumbwa na hujuma ya kiintaneti ambayo imetekelezwa na makundi ya wadukuzi wa Marekani na Ukraine.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS