-
Mahakama za utawala wa Aal Khalifa zaendelea kutoa hukumu za kidhalimu dhidi ya Wananchi wa Bahrain
Mar 29, 2016 23:40Mahakama moja nchini Bahrain imetoa hukumu ya kidhalimu ya vifungo jela kwa raia kumi wa nchi hiyo kwa madai ya kuwashambulia askari polisi katika maandamano yaliyofanyika katika kijiji kimoja ambacho wakaazi wake ni Waislamu wa Kishia.
-
ICC kutoa hukumu dhidi ya Bemba wa DRC Jumatatu
Mar 19, 2016 04:11Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC Jumatatu ijayo inatazamiwa kutoa hukumu dhidi ya Makamu wa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Jean-Pierre Bemba anayekabiliwa na tuhuma za jinai za kivita.
-
Ansari: Hukumu ya mahakama ya Marekani dhidi ya Iran ni kichekesho
Mar 13, 2016 22:51Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa hukumu iliyotolewa na mahakama ya Marekani dhidi ya Iran ni kichekesho, haina maana na inachezea shere vyombo vya mahakama na uadilifu na kuzidisha doa jeusi katika utendaji wa mahakama za Marekani.
-
Iran yamhukumu kifo bilionea kwa kupatikana na hatia ya ufisadi
Mar 06, 2016 21:46Bilionea wa Kiirani, Babak Zanjani ambaye alikuwa anakabiliwa na tuhuma za ufisadi wa kiuchumi amehukumiwa kifo.
-
Mtoto wa miaka 4 jela maisha kwa mauaji Misri!!
Feb 22, 2016 00:08Mahakama moja nchini Misri imemUhukumu kifungo cha maisha jela mtoto MMOJA wa miaka 4 kwa tuhuma za kufanya mauaji akiwa na umri wa baina ya mwaka mmoja na mwili.