-
Araqchi: Nchi za Ulaya zinapaswa kuonyesha zinayapa uzito mazungumzo ya nyuklia
Apr 16, 2021 07:52Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tume ya Pamoja ya Mapatano ya Nyuklia ya JCPOA ilifanya kikao chake Vienna, Austria jana Alhamisi ambapo kikao hicho kilikuwa na changamoto nyingi.
-
Rouhani: Leo tunashuhudia msimu mpya wa kuhuishwa mapatano ya JCPOA
Apr 08, 2021 02:35Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, leo tunashuhudia mwanzo mpya wa kuhuishwa mapatano ya nyuklia ya JCPOA. Akizungumza Jumatano mjini Tehran katika kikao cha baraza la mawaziri, Rouhani amesema nchi zote ambazo zinafungamana na mapatano ya JCPOA zinakutana Vienna Austria.
-
Rouhani: Ni zamu ya kundi la 5+1 kutekeleza wajibu wake mkabala wa Iran
Apr 01, 2021 11:40Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imetekeleza barabara wajibu wake na kufungamana na ahadi zake katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, na hivi sasa ni zamu ya kundi la 5+1 kutekeleza jukumu lake.
-
IAEA yataka washiriki wa JCPOA wakumbatie fursa waliyopewa na Iran
Mar 17, 2021 06:33Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA amesema makubaliano ya nyuklia ya Iran ni 'magumu lakini yanatekelezeka' huku akizitaka pande husika za JCPOA kukumbatia muhula wa miezi mitatu ziliopewa na Jamhuri ya Kiislamu kwa ajili ya kuyanusuru mapatano hayo.
-
Kustawi sekta ya nyuklia ya Iran yenye malengo ya amani, bila kujali mapatano ya JCPOA
Jan 30, 2021 11:52Sekta ya miradi ya nyuklia ya Iran inaendelea kuimarishwa kwa malengo ya amani licha ya kuwepo shaka na madai yasiyo na msingi ya Marekani na nchi tatu za Ulaya zilizosalia katika mapatano ya JCPOA, jambo linalothibitisha wazi kwamba miradi hiyo itaendelea kuimarika iwe ni kwa msingi wa mapatano ya JCPOA au la.
-
Russia yapinga mabadiliko ya aina yoyote kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran
Jan 29, 2021 02:08Naibu Mwakilishi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa, Russia inapinga mabadiliko ya aina yoyote kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran.
-
Iran yataka Polisi ya Kimataifa (Interpol) iwakamate wauaji wa mashahidi Soleimani, Fakhrizadeh
Jan 12, 2021 05:06Msemaji wa Polisi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Iran imeikabidhi Polisi ya Kimataifa, Interpol, taarifa kuhusu watu wanne waliohusika katika mauaji ya mwanasayansi wa nyuklia wa Iran shahidi Mohsen Fakhrizadeh na pia watu wengine waliohusika katika mauaji ya shahidi Qassem Soleimani."
-
Balozi Gharibabadi: IAEA inaruhusiwa tu kukagua shughuli za nyuklia za Iran
Dec 11, 2020 07:48Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika taasisi za kimataifa zilizoko Vienna, Austria amesema: "Jukumu pekee la Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) katika mapatano ya nyuklia ya Iran ya mwaka 2015 ni kukagua shughuli za nyuklia za nchi hii na kutoa ripoti kuhusiana na hilo."
-
Zarif: Nchi za Ulaya ziache kukiuka JCPOA na zisitishe sera haribifu katika eneo
Dec 05, 2020 04:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Jawad Zarif amemjibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Heiko Maas ambaye ametaka mapatano ya nyuklia ya JCPOA yajadiliwe upya.
-
Mkurugenzi Mkuu wa IAEA akiri mpango wa nyuklia wa Iran ni wa amani
Oct 11, 2020 07:55Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amekiri kuwa, kinyume na inavyodaiwa na Marekani, mpango wa nyuklia wa Iran unafuatilia malengo ya amani.