-
Taarifa ya Bunge la Iran ya kulaani azimio la Bodi ya Magavana ya IAEA
Jun 22, 2020 07:13Wajumbe wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, jana Jumapili walitoa taarifa wakilaani azimio la Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) dhidi ya Iran na kusema azimio hilo ni mfano mwingine wa ubaguzi katika muundo wa wakala huo.
-
Iran yapinga azimio la Bodi ya Magavana ya IAEA
Jun 20, 2020 04:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa hatua ya Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kuandamana na Marekani katika azimio dhidi ya Iran ambalo limepasishwa katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).
-
Iran kuendelea kushirikiana na IAEA katika uga wa nyuklia
Mar 04, 2020 04:35Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika mashirika ya kimataifa mjini Vienna, Austria amesema Iran itaendelea kushirikiana na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kuhusu utekelezwaji wa mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Iran yasema ikilazimu, itaangalia upya ushirikiano wake na IAEA
Jan 19, 2020 08:04Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amezionya nchi za Ulaya kuwa, Tehran italazimika kuangalia upya ushirikiano wake na Wakala wa Kimataifa wa Niashati ya Atomiki (IAEA) iwapo EU itaendelea kuchukua hatua zisizo za kiadilifu juu ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Nukta tano kuhusu jaribio la kombora la utawala wa Kizayuni wa Israel
Dec 08, 2019 07:26Msemaji wa Jeshi la Utawala wa Kizayuni wa Israel tarehe 6 Disemba alitangaza kuwa jeshi la utawala huo lilifanyia jaribio kombora moja katika eneo la Ashdod.
-
Mkuu mpya wa IAEA ataka uhusiano chanya na Iran
Dec 03, 2019 07:51Mkurugenzi Mkuu mpya wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA amesema ana matarajio makubwa kwamba taasisi hiyo itakuwa na uhusiano chanya na amilifu na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Salehi: JCPOA sio mkataba wa upande mmoja, EU imefeli
Sep 08, 2019 12:13Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran (AEOI) amesema kuwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA sio mapatano ya upande mmoja, na kwamba nchi za Ulaya zimefeli kutekeleza wajibu wao wa kuyalinda mapatano hayo ya kimataifa.
-
Iran ishamfahamisha Macron haifanyi mazungumzo kuhusu makombora
Aug 27, 2019 03:33Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelikataa pendekezo la Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa la kuweka kadhia ya makombora ya kujihami ya Iran katika ajenda ya mazungumzo mapya.
-
Zarif: Iran haitofanya tena mazungumzo kuhusu mapatano ya nyuklia
Jul 16, 2019 09:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haitofanya tena mazungumzo kuhusu mapatano ya nyuklia.
-
Radiamali ya Uingereza kwa hatua ya Iran ya kuzidisha akiba ya urani iliyorutubishwa
Jul 02, 2019 08:17Jeremy Hunt Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza amedai kuwa nchi hiyo imedhamiria kusaidia utekelezaji mzuri wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.