-
Iran yakosoa matamshi ya Rais wa Ufaransa alipokutana na Trump
Jun 07, 2019 07:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa alipokutana na mwenzake wa Marekani mjini Paris na kusema matamshi ya Macron hayasaidii katika kulindwa mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Balozi wa Iran UN: Donald Trump si mtu wa kuaminika
May 10, 2019 07:47Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amejibu madai ya rais wa Marekani kuhusu mazungumzo na Iran na kusema: "Donald Trump si mtu wa kuaminika".
-
Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia Iran
Apr 09, 2019 12:13Tarehe 20 Farvardin Inasadifiana na "Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia" nchini Iran. Katika siku kama hii mwaka 1385 Hijria Shamsia sawa na Aprili 9 2006, wanasayansi na wasomi Wairani walifanikiwa kukamilisha mzunguko wa utegenezaji fueli ya nyuklia katika maabara.
-
IAEA yasisitiza tena kuwa Iran imefungamana na JCPOA
Apr 03, 2019 14:50Kwa mara nyingine tena Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amethibitisha kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefungamana na kutekeleza majukumu yake kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
IAEA yathibitisha kwa mara ya 15 kwamba Iran imefungamana na makubaliano ya JCPOA
Mar 04, 2019 14:23Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kwa mara nyingine amethibitisha kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefungamana na kutekeleza majukumu yake kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
EU: Makubaliano ya nyuklia ya Iran hayana chaguo jengine mbadala
Nov 15, 2018 08:04Kamishna wa Umoja wa Ulaya wa Uadilifu, amesema hakuna chaguo jengine lolote mbadala na lenye itibari kwa ajili ya makubaliano ya nyuklia ya Iran, JCPOA.
-
Salehi katika kikao cha IAEA mjini Vienna; sisitizo la majukumu na matarajio ya Iran kutoka kwa wakala huo
Sep 17, 2018 10:23Kikao cha 62 cha kila mwaka cha Wakala wa Kimataifa ya Nishati ya Atomiki IAEA kimeanza leo huko Vienna Austria.
-
Iran yajenga kiwanda kipya cha rafadha za mashinepewa
Jul 19, 2018 03:06Iran imekamilisha ujenzi wa kiwanda kipya cha kisasa cha kuunda rafadha za mashinepewa ili kuimarisha urutubishaji madini ya urani pasina kukiuka mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Larijani: Iran iliingia katika mazungumzo ya nyuklia kulingana na misingi yake
Jun 28, 2018 08:02Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iliingia kwenye mazungumzo na kundi la 5+1 kulingana na misingi na mbinu zinazofahamika; ambazo matokeo yake ilikuwa ni kufikiwa makubaliano ya nyuklia yaliyoidhinishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Amano asisitiza tena kuwa Iran imeshikamana kikamilifu na mapatano ya JCPOA
Jun 05, 2018 03:07Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa, kwa mujibu wa ripoti ya karibuni kabisa ya wakala huo, Iran imeshikamana kikamilifu na mapatano ya nyuklia ya JCPOA.