-
Malengo mawili ya makelele mapya ya Netanyahu dhidi ya Iran
May 04, 2018 06:50Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, Jumatatu usiku aliendeleza vitendo vyake vya chuki na ghilba za kisiasa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuonesha mbele ya kamera za vyombo vya habari vitu alivyodai kuwa eti ni ushahidi kwamba Iran inafanya juhudi za siri za kumiliki silaha za nyuklia.
-
IAEA: Hakuna ithibati yenye itibari kuhusu madai kwamba Iran inaunda silaha za nyuklia
May 01, 2018 14:18Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) umesema tokea mwaka 2009 hakuna kielelezo wala ithibati yenye itibari inayoonyesha kuwa miradi ya nyuklia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina malengo ya kijeshi.
-
Kuendelea madai ya kichekesho ya Netanyahu kuhusu Iran
May 01, 2018 07:18Waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Jumatatu usiku, katika maonyesho yake mapya ya kipropaganda dhidi ya Iran, ameonyesha picha, CD na karatasi na kudai ni nyaraka zisizopingika kuhusu kile alichodai kuwa eti ni mpango wa siri wa Iran wa kuunda bomu la atomiki.
-
Araqchi: Hatua yoyote ya kuvuruga mapatano ya JCPOA itakuwa na mwisho mbaya
Mar 26, 2018 15:12Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na nchi sita za kundi la 5+1 ni mapatano ya kiusalama na yanahusiana moja kwa moja na usalama wa eneo la Mashariki ya Kati na wa kimataifa, na uvurugaji wa aina yoyote wa makubaliano hayo utakuwa na matokeo mabaya kwa jamii ya kimataifa.
-
Ujerumaini, Uingereza, Ufaransa: Tutahakikisha makubaliano ya JCPOA yanalindwa
Nov 14, 2017 03:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema kuwa nchi yake pamoja na Uingereza na Ufaransa zina mtazamo mmoja kuhusiana na wajibu wa kulindwa na kuheshimiwa mapatano ya nyuklia kati ya Iran na kundi la 5+1 maarufu kwa jina la JCPOA.
-
Amano: Iran imeheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA katika kipindi chote
Nov 07, 2017 08:19Kwa mara nyingine tena Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA, Yukia Amano ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuendelea kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA katika takriban kipindi cha miaka miwili cha mapatano hayo.
-
IAEA: Iran imeheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Oct 29, 2017 15:53Kwa mara nyingine tena Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) amesema kuwa Iran imefungamana na kutekeleza wajibu na majukumu yake kuhusu makubaliano ya nyuklia maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Larijani: Iran itawafanya Wamarekani wajute
Oct 17, 2017 15:13Spika Bunge la Iran amesema kuwa, iwapo Marekani itajiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, Iran imetayarisha mipango ya kudumisha miradi yake ya kuzalisha nishati ya nyuklia.
-
Wendy Sherman atetea tena makubaliano ya nyuklia ya Iran
Oct 08, 2017 07:38Mwanadiplomasia wa zamani wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani amesema kuwa, uhusiano kati ya nchi hiyo na Korea ya Kaskazini utaharibika zaidi iwapo Rais wa nchi hiyo Donald Trump atakataa kuthibitisha kwamba Iran imeheshimu na kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Zarif: Marekani imekiuka mapatano ya nyuklia na Iran
Jul 17, 2017 03:52Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema Marekani imekiuka utekelezaji wa ahadi zake katika mapatano ya nyuklia ya Iran.