-
Zarif: Marekani imekiuka mapatano ya nyuklia na Iran
Jul 16, 2017 23:22Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema Marekani imekiuka utekelezaji wa ahadi zake katika mapatano ya nyuklia ya Iran.
-
Kuaminiana pande mbili; sharti la kufanikiwa makubaliano ya nyuklia ya Iran na Magharibi
Jun 24, 2017 23:28Ali Akbar Salehi Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran ameandika katika makala iliyochapishwa kwenye gazeti la The Guardian la nchini Uingereza kwamba, kufanikiwa makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na nchi za Magharibi kunategemea ushirikiano na kiwango cha kuaminiana kati ya pande hizo na kwamba si kupitia siasa za kuvuruga mambo zinazofuatiliwa hivi sasa.
-
IAEA: Hatujapokea taarifa yoyote kutoka Marekani kuhusu JCPOA
Feb 14, 2017 10:50Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA), Yukia Amano, amesema taasisi hiyo haijapokea taarifa wala kufanya mawasiliano yoyote na Marekani kuhusu msimamo wa Washington juu ya makubaliano ya nyuklia ya Iran.
-
Iran, Luxemberg zasisitizia haja ya kuheshimiwa makubaliano ya nyuklia
Feb 14, 2017 10:46Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Luxemberg zimesisitizia umuhimu wa kuheshimiwa na kutekelezwa kikamilifu makubaliano ya nyuklia ya Vienna.
-
Rais wa Ufaransa amtaka Trump aheshimu JCPOA
Jan 29, 2017 10:21Rais wa Ufaransa amemtaka Rais mpya wa Marekani aheshimu makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na kundi la 5+1 yaliyosainiwa huko Vienna nchini Austria Julai mwaka 2015.
-
Iran: Itibari ya JCPOA inategemea kuheshimiwa makubaliano hayo na pande zote
Dec 13, 2016 04:39Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kufanikiwa makubaliano ya nyuklia kati ya Jamhuri ya Kiislamu na nchi za kundi la 5+1 kunategemea iwapo pande zote zitayaheshimu na kuyatekeleza makubaliano hayo ipasavyo au la.
-
IAEA yathibitisha kuwa Iran imefungamana na JCPOA
Dec 07, 2016 03:52Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA umesema hatua ya Iran kuuza nje ya nchi maji mazito ya nyuklia ni katika sehemu ya kuonyesha kufangamana kwake na makubaliano ya nyuklia.
-
Jahangiri: Marekani imekiuka muafaka wa kimataifa
Dec 05, 2016 00:26Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali hatua ya Baraza la Seneti la Marekani ya kupitisha muswada wa kurefusha kwa muda wa miaka 10 mingine Sheria ya Vikwazo Dhidi ya Iran (ISA) na kusema kuwa, kitendo hicho mbali na kuonyesha kuwa Washington haina muamana, pia ni ukiukaji wa makubaliano ya kimataifa.
-
CIA yamuonya Trump dhidi ya kukiuka makubaliano ya nyuklia ya Iran
Nov 30, 2016 11:08Shirika la Kijasusi la Marekani CIA limemuonya rais-mteule wa nchi hiyo Donald Trump dhidi ya kukiuka makubaliano ya nyuklia kati ya Iran na kundi la 5+1.
-
Iran: Madola makubwa yasivuruge mapatano ya nyuklia
Nov 18, 2016 00:53Balozi wa Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA amesema madola sita makubwa duniani ya kundi la 5+1 hayapaswi kuchukua hatua za kuvuruga utekelezaji mapatano ya nyuklia baina yao na Tehran.