-
IAEA yasisitizia, Iran imeheshimu makubaliano ya JCPOA
Nov 10, 2016 04:27Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) umesisitiza tena katika ripoti yake mpya kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetekeleza na kuheshimu makubaliano ya nyuklia maarufu kama JCPOA kwa kifupi.
-
Rais Rouhani: Hakuna nchi yoyote inayoweza kuyavuruga makubaliano ya nyuklia
Sep 22, 2016 10:51Rais Hassan Rouhani amesema hakuna nchi au rais wa nchi yoyote anayeweza kuyavuruga makubaliano ya nyuklia yaliyosainiwa baina ya Iran na nchi zinaounda kundi la 5+1 pamoja na Umoja wa Mataifa.
-
Mahudhurio ya Iran katika Klabu ya Kimataifa ya Nyuklia
Sep 17, 2016 04:46Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (IAEO) Ali Akbar Salehi amehutubia kongamano la kila mwaka la Klabu ya Kimataifa ya Nyuklia mjini London, Uingereza akisisitzia udharura wa kuwepo ushirikiano katika masuala ya teknolojia ya nyuklia.
-
Rouhani: Kundi la 5+1 halitekelezi ipasavyo JCPOA
Aug 03, 2016 03:23Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi za kundi la 5+1 hazitekelezi barabara makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Siasa za kiistratejia za Marekani; kuendelea miamala ya kiuhasama dhidi ya Iran
Jun 25, 2016 23:43Seneta Christopher Andrew Coons mwanachama wa ngazi ya juu wa chama cha Democrat katika Seneti ya Marekani amesema kuwa Iran bado ni hatari na ni nchi ya kimapinduzi; na kwamba ingali ni hatari kuu ya kinyuklia kwa miongo ijayo.
-
Iran yaitaka Marekani ichukue hatua zaidi kutekeleza mapatano ya nyuklia
Jun 14, 2016 22:24Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Marekani inapaswa kuchukua hatua zaidi katika utekelezwaji wa mapatano ya nyuklia kwa kuziruhusu benki kufanya biashara na Iran baada ya kuondolewa vikwazo.
-
Utawala wa Kizayuni ni tishio pekee la nyuklia katika Mashariki ya Kati
Jun 14, 2016 22:23Utawala wa Kizayuni wa Israel katika miaka ya hivi karibuni umefanya jitihada kubwa pamoja na Marekani ili kuidhihirisha miradi ya nyuklia ya Iran yenye malengo ya amani kuwa ina malengo ya kijeshi na kwa msingi huo imekuwa ikitaka kuidhihirisha Iran kuwa ni tishio kwa usalama wa Mashariki ya Kati.
-
Amano: Iran imefungamana na makubaliano ya nyuklia
Jun 04, 2016 09:22Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) amethibitisha kuwa Iran imefungamana na makubaliano ya nyuklia.
-
Hillary Clinton aunga mkono makubaliano ya nyuklia, amkosoa Trump
Jun 03, 2016 02:53Mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democrats, Hillary Clinton ameunga mkono makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa baina ya madola makubwa ya dunia na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais Rouhani: Iran imesambaratisha chuki dhidi ya Uislamu
Apr 19, 2016 10:58Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa kubwa la Iran limesambaratisha njama za madola makubwa na Wazayuni za kueneza chuki dhidi ya Uislamu na chuki dhidi ya Iran