-
Kutangazwa muda wa kujiuzulu Rais Omar al Bashir wa Sudan
Aug 22, 2016 08:02Rais Omar al Bashir wa Sudan ametangaza kuwa, ana nia ya kuachia madaraka ifikapo mwaka 2020. Amesema atalazimika kuachana na siasa kwani katiba ya Sudan haitomruhusu kubakia madarakani.
-
Wahajiri wa Kiarabu waandamana kupinga jinai za Saudia
Mar 23, 2016 03:44Wahajiri Waarabu wamefanya maandamano katika mji mkuu wa Denmark, Copenhagen wakipinga jinai na uhalifu unaoendelea kufanywa na serikali ya Saudi Arabia katika maeneo mbalimbali ya Mashariki ya Kati.