-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya ICC; hujuma ya dhahir shahir inayolenga sheria na taasisi za kimataifa
Dec 20, 2025 06:40Katika hatua ya kiupendeleo ya kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel, Marekani imewawekea vikwazo majaji wawili wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ICC.
-
Kuipachika Venezuela lebo ya ugaidi; shutuma za kisiasa au kisingizio cha shambulio?
Dec 19, 2025 22:53Katika hatua yake ya hivi karibuni dhidi ya serikali ya Rais wa Venezuela Nicolas Maduro, Rais wa Marekani Donald Trump ameitangaza serikali hiyo kuwa ni ya kigaidi na ameamuru kuzuiwa meli zote za mafuta zinazoingia au kutoka nchini humo.
-
Katika kuitajirisha sekta ya silaha ya US, Qatar nayo yaomba kuuziwa ndege za F-35
Dec 18, 2025 23:55Vyombo vya habari vya Israel vimetangaza kuwa, Qatar imefanya mazungumzo na Marekani kuhusu kununua nchi hiyo ya Kiarabu ndege za kisasa za kivita za Marekani aina ya F-35.
-
Waziri Mkuu wa Uhispania: Kampeni ya Marekani katika maji ya Karibi ni ukiukaji wa sheria za kimataifa
Dec 14, 2025 22:48Waziri Mkuu wa Uhispania amesema kwamba kampeni ya Marekani katika maji ya Karibi ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.
-
Katibu Mkuu wa Hizbullah: Marekani itambue kwamba katu hatutaweka chini silaha zetu
Dec 13, 2025 22:38Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, serikali ina wajibu wa kufanya juhudi za kuzatiti mamlaka ya kujitawala na uhuru wa Lebanon, na Muqawamwa kwa upande wake umeisaidia kutekeleza makubaliano ya kusitisha mapigano.
-
Putin atangaza kumuunga mkono Maduro licha ya US kushadidisha vitisho dhidi ya Venezuela
Dec 12, 2025 06:41Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, anamuunga mkono Rais wa Venezuela Nicolas Maduro wakati huu ambapo Marekani imejizatiti kijeshi katika eneo la Carribean huku ikishadidisha vitisho dhidi ya Venezuela.
-
Ripoti: US inaishinikiza Israel iuondoe mlima wa kifusi uliozagaa Ghaza baada ya miaka 2 ya vita
Dec 12, 2025 06:40Marekani imeitaka Israel ibebe jukumu la kuondoa vifusi vikubwa vilivyotapakaa kwenye kila pembe ya Ukanda wa Ghaza baada ya zaidi ya miaka miwili ya vita vya kinyama na mauaji ya kimbari iliyofanya dhidi ya Wapalestina wa eneo hilo, pamoja na uharibifu mkubwa uliosababishwa na mashambulizi yake ya anga na matingatinga ya kivita. Hayo yameelezwa na toleo la Alkhamisi la gazeti la kizayuni la Yedioth Ahronoth.
-
Mtazamo wa Iran kuhusu vitendo vya Marekani dhidi ya Venezuela: Uzushi hatari unaotishia amani na usalama wa dunia
Dec 11, 2025 05:15Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amevitaja vitendo vya Marekani dhidi ya Venezuela kuwa ni uzushi hatari unaotishia amani na usalama wa dunia.
-
Araghchi: Marekani haiko tayari kwa mazungumzo ya manufaa kwa pande mbili, ya usawa na ya kuheshimiana
Dec 08, 2025 03:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema, Tehran imefikia hitimisho kwamba Marekani haiko tayari kwa mazungumzo ya manufaa kwa pande mbili, ya usawa na yanayofanyika kwa msingi wa kuheshimiana.
-
Je, ziara ya Putin nchini India inamaanisha kwamba New Delhi imepuuza vitisho vya Trump?
Dec 06, 2025 22:54Rais Vladimir Putin wa Russia amefanya ziara nchini India kwa lengo la kuimarisha uhusiano kati ya nchi mbili.