Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Tabia ya dharau ya polisi wa Marekani dhidi ya wahamiaji

    Tabia ya dharau ya polisi wa Marekani dhidi ya wahamiaji

    Jul 09, 2022 03:18

    Kwa mujibu wa matokeo ya uchunguzi uliofanyika hivi karibuni, polisi wa kulinda usalama wa mipaka wa Marekani wamekuwa wakiamiliana na wahamiaji kwa njia ya dharau na kuwavunjia heshima.

  • Wakenya waijia juu Fox News ya Marekani kwa upotoshaji

    Wakenya waijia juu Fox News ya Marekani kwa upotoshaji

    Jul 08, 2022 05:33

    Viongozi na wananchi wa Kenya wameishutumu na kuikosoa vikali kanali ya televisheni ya Fox News ya Marekani kwa kueneza madai ya upotoshaji.

  • Russia yaharibu mifumo ya makombora ya Marekani nchini Ukraine

    Russia yaharibu mifumo ya makombora ya Marekani nchini Ukraine

    Jul 07, 2022 03:26

    Jeshi la Russia limetangaza habari ya kusambaratisha mifumo miwili ya makombora aina ya HIMARS ya Marekani mashariki mwa Ukraine.

  • Marekani yatangaza vikwazo vipya dhidi ya sekta ya mafuta ya Iran

    Marekani yatangaza vikwazo vipya dhidi ya sekta ya mafuta ya Iran

    Jul 06, 2022 23:03

    Wizara ya Fedha ya Marekani imeendeleza uraibu wa nchi hiyo wa kuziwekea vikwazo nchi mbalimbali kwa kutangaza vikwazo vipya dhidi ya sekta ya mafuta na petrokemikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Marekani yakumbwa na wasiwasi wa kushadidi ghasia baada ya mauaji ya Jayland Walker

    Marekani yakumbwa na wasiwasi wa kushadidi ghasia baada ya mauaji ya Jayland Walker

    Jul 04, 2022 20:31

    Maafisa wa serikali ya Marekani wameelezea wasiwasi wao juu ya kuongezeka maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi baada ya mauaji ya kijana mweusi huko Ohio na vilevile ghasia zinazosababishwa na mauaji hayo.

  • Jumatatu tarehe 4 Julai 2022

    Jumatatu tarehe 4 Julai 2022

    Jul 03, 2022 23:42

    Leo ni Jumatatu tarehe 4 Dhulhija 1443 Hijria sawa na tarehe 4 Julai 2022.

  • Mshauri wa Rais wa Iran: Magaidi wa ISIS wametokana na fikra za Kimarekani

    Mshauri wa Rais wa Iran: Magaidi wa ISIS wametokana na fikra za Kimarekani

    Jul 03, 2022 23:34

    Mshauri wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kaumu na waliowachache kidini amesema kundi la kigaidi la ISIS au Daesh limetokana na fikra za Kimarekani.

  • Ujumbe wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusu jinai za Marekani

    Ujumbe wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusu jinai za Marekani

    Jul 03, 2022 04:44

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa ujumbe wa Twitter kwa mnasaba wa kukumbuka jinai ya meli ya kivita ya Marekani iliyotungua ndege ya abiria ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Ghuba ya Uajemi.

  • Mbunge Marekani alaani nchi hiyo kujiingiza katika vita Ukraine kuvuna faida

    Mbunge Marekani alaani nchi hiyo kujiingiza katika vita Ukraine kuvuna faida

    Jul 03, 2022 03:23

    Mjumbe mwanamke wa chama cha Republican katika Kongresi ya Marekani amekosoa vikali hatua ya Washington ya kuipa Ukraine msaada mkubwa wa kijeshi na kuisaidia nchi hiyo katika kile alichokiita vita vya niaba dhidi ya Russia.

  • Lancet: Yumkini virusi vya Covid-19 vilitokea katika maabara Marekani

    Lancet: Yumkini virusi vya Covid-19 vilitokea katika maabara Marekani

    Jul 01, 2022 22:30

    Jarida mashuhuri la masuala ya tiba na afya la The Lancet limesema virusi hatari vya Corona ambavyo vimeshaua mamilioni ya watu kote duniani vilizalishwa kwenye maabara, na wala havikuanza tu peke yake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS