-
Idadi ya Wamarekani wanaotaka kubeba silaha dhidi ya serikali yafichuliwa
Jul 01, 2022 21:50Utafiti mpya wa maoni unaonesha kuwa, akthari ya wananchi wa Marekani wanajiona kama wageni ndani ya nchi yao, na kwamba baadhi yao wanasema wako tayari kufanya ghasia na kutumia silaha dhidi ya serikali hiyo.
-
Sputnik: Marekani inawasajili magaidi wa Daesh ili kuwatuma Ukraine
Jun 30, 2022 20:33Shirika la habari la Sputnik limeripoti kuwa, Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) linawasajili magaidi wa Daesh (ISIS) ili wapelekwe Ukraine kwa kisingizio cha vita nchini humo.
-
China yaitaka Marekani kurekebisha makosa yake mkabala wa Iran
Jun 30, 2022 09:05China imeitaka Marekani irekebishe makosa yake katika mienendo yake dhidi ya Iran.
-
Kundi la 'Proud Boys' la US lawekwa katika orodha ya magaidi New Zealand
Jun 30, 2022 03:15New Zealand imeliweka katika orodha yake ya makundi ya kigaidi kundi la mrengo wa kulia lenye misimamo ya kuchupa mipaka la "Proud Boys" la Marekani.
-
Tume ya Haki za Binadamu ya Kiislamu ya Uingereza: Mfumo wa Marekani ni kinyume na haki za binadamu
Jun 29, 2022 21:49Mkuu wa Tume ya Haki za Binadamu ya Kiislamu nchini Uingereza (IHRC) amesema kuwa mfumo wa utawala wa Marekani unapinga na kupiga vita haki za binadamu na kusisitiza kuwa, mfumo huo unawadhulumu hata raia wa Marekani kwenyewe.
-
Gharib Abadi: Iran ni mhanga mkubwa wa ugaidi duniani
Jun 29, 2022 03:29Katibu wa Tume ya Haki za Binadamu ya Idara ya Mahakama ya Iran amesema, zaidi ya watu elfu 25 nchini Iran wamepoteza maisha kutokana na vitendo vya kigaidi; ambapo uungaji mkono wa Marekani kwa jinai zote hizo unashuhudiwa.
-
Juhudi za G7 za kukabiliana kiuchumi na China
Jun 28, 2022 21:48Viongozi wa mataifa saba yaliyoendelea kiviwanda, G7, wameafiki kuzindua mpango kabambe wa kuwekeza katika miundo msingi kwenye nchi zinazoendelea. Viongozi hao wametangaza kuwa, nchi za G7 zinakusudia kutenga dola bilioni 600 kwa ajili ya mpango huo ifikapo 2027.
-
Gavana wa Texas: Biden ndiye wa kulaumiwa kwa "janga la kutisha la wahajiri" nchini Marekani
Jun 28, 2022 05:26Gavana wa Texas nchini Marekani amemlaumu Rais Joe Biden wa nchi hiyo kuwa ndiye wa kulaumiwa kwa vifo vya makumi ya wahajiri ambao miili yao imepatikana ikiwa imetelekezwa katika lori kwenye jimbo hilo.
-
Sakata; Biden ametumia fedha nyingi kugharamia ufuska wa kijana wake
Jun 28, 2022 03:29Gazeti la Washington Examiner limefichua kashfa ya ufuska inayoizunguka familia ya Rais Joe Biden wa Marekani, ambapo kiongozi huyo wa Marekani anaripotiwa kutoa fedha nyingi kwa ajili ya kugharamia ufuska wa mtoto wake wa kiume, Hunter Biden.
-
Maiti 46 zapatikana ndani ya lori jimboni Texas, Marekani
Jun 28, 2022 03:25Miili 46 imepatikana ndani ya lori lililokuwa limeegeshwa karibu na kambi ya kijeshi ya Lackland jijini San Antonio, katika jimbo la Texas nchini Marekani.