Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Baada ya kuongezeka mzozo, wakuu wa majeshi ya Marekani na Russia wakutana Finland

    Baada ya kuongezeka mzozo, wakuu wa majeshi ya Marekani na Russia wakutana Finland

    Sep 23, 2021 01:07

    Baada ya kupamba moto mzozo katika uhusiano wa Marekani na Russia na kuingia kwenye hatua hatari na kufikia hadi viongozi wa Washington kusema kuwa Russia ni adui mkubwa wa Marekani kuliko China, juhudi za kupunguza mivutano hiyo zimeanza kuchukuliwa kupitia kukutanishwa wakuu wa majeshi ya nchi hizo mbili katika mji mkuu wa Finland, Halsinki.

  • Brookings Institution: Mienendo ya Biden katika vita vya Saudia nchini Yemen haitofautiani na ya Trump

    Brookings Institution: Mienendo ya Biden katika vita vya Saudia nchini Yemen haitofautiani na ya Trump

    Sep 21, 2021 23:50

    Taasisi ya Brookings Institution huko Marekani imeandika makala ikisema kuwa serikali ya sasa ya Marekani imekiuka ahadi yake ya kukomesha vita vya muungano wa Saud Arabia na washirika wake dhidi ya taifa la Yemen na kukata misaada na himaya yake kwa muungano huo.

  • Wamarekani wengi: Upo uwezekano wa kutokea vita vingine vya ndani Marekani

    Wamarekani wengi: Upo uwezekano wa kutokea vita vingine vya ndani Marekani

    Sep 21, 2021 02:30

    Karibu nusu ya Wamarekani wanaitakidi kuwa, upo uwezekano wa kutokea vita vingine vya ndani nchini humo.

  • Sisitizo la Umoja wa Mataifa juu ya kukiuka sheria vikwazo vya upande mmoja vya Marekani

    Sisitizo la Umoja wa Mataifa juu ya kukiuka sheria vikwazo vya upande mmoja vya Marekani

    Sep 20, 2021 22:09

    Alena Douhan, ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu taathira hasi za vikwazo vya upande mmoja dhidi ya haki za binadamu amesisitiza kwamba vikwazo vya upande mmoja vya Marekani vinakiuka wazi sheria za kimataifa.

  • Korea Kaskazini yazionya US, UK na Australia kuhusu makubaliano yao ya nyambizi ya nyuklia

    Korea Kaskazini yazionya US, UK na Australia kuhusu makubaliano yao ya nyambizi ya nyuklia

    Sep 20, 2021 05:44

    Korea Kaskazini imesema makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa hivi karibuni baina ya nchi tatu za Marekani, Uingereza na Australia ni hatua hatari sana.

  • Trump: Marekani inaelekea kuwa shimo la maji taka kutokana na wahamiaji

    Trump: Marekani inaelekea kuwa shimo la maji taka kutokana na wahamiaji

    Sep 20, 2021 03:45

    Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump ameashiria wimbi kubwa la wahajiri wanaomiminika nchini humo na kusema: Marekani inaelekea kuwa shimo la maji taka.

  • CNN: Wamarekani elfu mbili wanakufa kila siku kwa virusi vya corona

    CNN: Wamarekani elfu mbili wanakufa kila siku kwa virusi vya corona

    Sep 20, 2021 03:31

    Televisheni ya CNN ya Marekani imeripoti kuwa, kwa wastani Wamarekani elfu mbili wanafariki dunia kila siku kutokana na virusi vya corona na kwamba idadi hiyo ndiyo ya juu zaidi tangu mwezi Machi mwaka huu.

  • Familia ya Waafghani waliouawa na Marekani: Kuungama hakutoshi, wahusika wachukuliwe hatua

    Familia ya Waafghani waliouawa na Marekani: Kuungama hakutoshi, wahusika wachukuliwe hatua

    Sep 19, 2021 12:03

    Familia ya raia kumi wa Afghanistan waliouawa katika shambulizi la ndege isiyo na rubani ya jeshi la Marekani mjini Kabul imekataa hatua ya serikali ya Washington ya kuungama na kuomba radhi kutokana mauajii hayo.

  • Washington: Kwa sasa Russia ni tishio kubwa zaidi kwa Marekani kuliko China

    Washington: Kwa sasa Russia ni tishio kubwa zaidi kwa Marekani kuliko China

    Sep 19, 2021 02:46

    Naibu Waziri wa Ulinzi wa Marekani amedai kwamba kwa sasa Russia ni tishio kubwa kwa usalama wa nchi hiyo na Ulaya kuliko China.

  • Kushadidi mivutano baina ya Marekani na Ufaransa, Paris yamwita nyumbani balozi wake mjini Washington

    Kushadidi mivutano baina ya Marekani na Ufaransa, Paris yamwita nyumbani balozi wake mjini Washington

    Sep 18, 2021 21:52

    Ufaransa imechukua uamuzi wa kumwita nyumbani balozi wake mjini Washington sambamba na kushadidi mivutano katika uhusiano wa serikali ya Paris na Marekani. Vilevile imechukua hatua ya kumrejesha nyumbani balozi wake nchini Australia kama hatua ya kuonesha malalamiko yake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS