-
Marekani yatoa onyo kwa Uturuki dhidi ya kununua tena silaha kutoka Russia
Sep 27, 2021 22:55Marekani imesema kuna uwezekano wa kuiwekea Uturuki vikwazo vipya kwa sababu ya ununuzi wa mtambo wa ulinzi wa anga wa S-400 kutoka Russia.
-
Asilimia 70 ya Wademocrat hawataki Trump agombee urais mwaka 2024
Sep 27, 2021 01:02Asilimia 70 ya Wademocrat nchini Marekani wanapinga jaribio la aina yoyote la rais wa zamani wa nchi hiyo Donald Trump kugombea katika uchaguzi wa rais mwaka 2024.
-
Juhudi za Biden za kujaribu kupunguza mvutano baina ya Marekani na Ufaransa
Sep 23, 2021 22:46Kufuatia mazungumzo ya simu ya Marais Joe Biden wa Marekani na Emmanuel Macron wa Ufaransa hapo siku ya Jumatano, viongozi hao wametoa taarifa ya pamoja wakisema wameamua kuendelea na mashauriano kwa ajili ya kutatua hitilifu zilizojitokeza baina ya pande mbili kuhusu mkataba wa kiusalama wa AUKUS.
-
Baada ya kuongezeka mzozo, wakuu wa majeshi ya Marekani na Russia wakutana Finland
Sep 23, 2021 01:07Baada ya kupamba moto mzozo katika uhusiano wa Marekani na Russia na kuingia kwenye hatua hatari na kufikia hadi viongozi wa Washington kusema kuwa Russia ni adui mkubwa wa Marekani kuliko China, juhudi za kupunguza mivutano hiyo zimeanza kuchukuliwa kupitia kukutanishwa wakuu wa majeshi ya nchi hizo mbili katika mji mkuu wa Finland, Halsinki.
-
Brookings Institution: Mienendo ya Biden katika vita vya Saudia nchini Yemen haitofautiani na ya Trump
Sep 21, 2021 23:50Taasisi ya Brookings Institution huko Marekani imeandika makala ikisema kuwa serikali ya sasa ya Marekani imekiuka ahadi yake ya kukomesha vita vya muungano wa Saud Arabia na washirika wake dhidi ya taifa la Yemen na kukata misaada na himaya yake kwa muungano huo.
-
Wamarekani wengi: Upo uwezekano wa kutokea vita vingine vya ndani Marekani
Sep 21, 2021 02:30Karibu nusu ya Wamarekani wanaitakidi kuwa, upo uwezekano wa kutokea vita vingine vya ndani nchini humo.
-
Sisitizo la Umoja wa Mataifa juu ya kukiuka sheria vikwazo vya upande mmoja vya Marekani
Sep 20, 2021 22:09Alena Douhan, ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu taathira hasi za vikwazo vya upande mmoja dhidi ya haki za binadamu amesisitiza kwamba vikwazo vya upande mmoja vya Marekani vinakiuka wazi sheria za kimataifa.
-
Korea Kaskazini yazionya US, UK na Australia kuhusu makubaliano yao ya nyambizi ya nyuklia
Sep 20, 2021 05:44Korea Kaskazini imesema makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa hivi karibuni baina ya nchi tatu za Marekani, Uingereza na Australia ni hatua hatari sana.
-
Trump: Marekani inaelekea kuwa shimo la maji taka kutokana na wahamiaji
Sep 20, 2021 03:45Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump ameashiria wimbi kubwa la wahajiri wanaomiminika nchini humo na kusema: Marekani inaelekea kuwa shimo la maji taka.
-
CNN: Wamarekani elfu mbili wanakufa kila siku kwa virusi vya corona
Sep 20, 2021 03:31Televisheni ya CNN ya Marekani imeripoti kuwa, kwa wastani Wamarekani elfu mbili wanafariki dunia kila siku kutokana na virusi vya corona na kwamba idadi hiyo ndiyo ya juu zaidi tangu mwezi Machi mwaka huu.