-
Vikwazo vya Marekani kipindi cha corona ni ukiukaji wa haki za binadamu
Jun 05, 2021 22:07Wimbi la maambukizi ya virusi vya corona linaendelea kuchukua roho za watu katika nchi mbalimbali duniani huku jumuiya za kimataifa zikisisitiza udharura wa kutolewa chanjo ya kukabiliana na virusi hivyo na kusambazwa chanjo hiyo na vifaa vingine vya tiba ili kufanikisha jitihada za kuvuka kipindi cha sasa cha janga hilo la kimataifa.
-
Upinzani Bahrain wailaani US kupeperusha 'bendera ya ushoga' Manama
Jun 05, 2021 21:56Chama kimoja cha upinzani nchini Bahrain kimekosoa vikali hatua ya Marekani ya kupeperusha bendera yenye nembo ya kuunga mkono ushoga katika ubalozi wake mjini Manama.
-
Viongozi wa Marekani waendelea na madai yao ya kuijenga upya Ghaza
Jun 05, 2021 07:21Mwakilishi wa kudumu wa Marekani katika Umoja wa Mataifa ameendeleza madai ya viongozi wa nchi hiyo kuhusu kuujenga upya Ukanda wa Ghaza. Amedai kuwa Washington inafanya juhudi za kukusanya misaada ya kimataifa ya kuujenga upya ukanda huo.
-
Maelfu waandamana katika bandari ya Oakland, Marekani kuiunga mkono Palestina
Jun 05, 2021 02:28Maandamano ya maelfu ya watu ya kuiunga mkono Palestina na kuonyesha mshikamano na wananchi wa Palestina yamefanywa kwa kushirikiana na Muungano wa Wafanyakazi wa Bandari za Marekani. Maandamano hayo yamefanikiwa kuzuia meli ya utawala wa Kizayuni wa Israel kukaribia bandari hiyo.
-
Biden atahadharisha kuhusu ugaidi wa wabaguzi wa rangi nchini Marekani
Jun 02, 2021 22:01Katika hotuba yake ya juzi kwenye kumbukumbu ya mwaka wa 100 tangu baada ya mauaji yaliyofanywa na wazungu dhidi ya Wamarekani weusi katika mji wa Tulsa jimboni Oklahoma, Rais Joe Biden wa Marekani aliutaja ugaidi wa wazungu wabaguzi wa rangi wanaojiona kuwa bora kuliko wanadamu wengine kuwa ni tishio hatari zaidi kwa Marekani.
-
Wanaokubali chanjo ya Corona Marekani kupewa 'zawadi' ya bunduki
Jun 02, 2021 02:45Jimbo la West Virginia nchini Marekani limetangaza 'zawadi' mbalimbali kwa wakazi wa jimbo hilo wataokubali kupigwa chanjo ya kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19, ikiwemo zawadi ya bunduki.
-
Mwanasayansi wa Marekani atahadharisha, asema kutaibuka COVID-26 na COVID-32
Jun 01, 2021 21:59Mwanasayansi wa Marekani ameonya kwamba, kutajitokeza COVID-26 na COVID-32 iwapo hatufanyika uchunguzi wa kina wa kubaini asili na chanzo cha virusi vya Corona vinavyosababisha maradhi ya COVID-19.
-
Ujerumani kuchungua ujasusi wa Marekani na Denmark dhidi ya viongozi wa EU
May 31, 2021 22:21Msemaji wa serikali ya Ujerumani ameeleza msimamo wa Berlin baada ya kufichuliwa ujasusi uliofanywa na Idara ya Usalama wa Taifa ya Marekani na Shirika la Ujasusi la Denmark kwa viongozi wa Ulaya.
-
Meli ya Israel yazuiwa kutia nanga nchini Marekani kutokana na jinai za Wazayuni
May 31, 2021 02:52Vyama kadhaa vya ushirika vya Marekani vimeizuia meli ya utawala wa Kizayuni isitie nanga katika bandari moja ya Auckland nchini Marekani kutokana na jinai kubwa zilizofanywa na Israel dhidi ya watoto wa Palestina.
-
Waindonesia waandamana kulaani uungaji mkono wa US kwa Israel
May 28, 2021 08:01Wananchi wa Indonesia wamefanya maandamano nje ya ubalozi wa Marekani na ofisi za Umoja wa Mataifa jijini Jakarta kulalamikia na kulaani uungaji mkono wa Marekani kwa jinai za utawala haramu wa Israel.