-
Kujichukulia maamuzi ya upande mmoja, changamoto ya dunia nzima
Jul 14, 2021 20:47Tabia ya baadhi ya madola ya kujichukulia maamuzi ya upande mmoja (unilateralism) sasa imekuwa tishio katika upeo wa kimataifa, na njia ya kukabiliana na tishio hilo ni hatua shirikishi na za pamoja katika upeo wa dunia nzima na kuimarisha utamaduni wa kuchukua maamuzi shirikishi (multilateralism) hususan katika masuala ya kimataifa.
-
Zarif asisitiza: "Vikwazo vya kulemaza" vya Marekani vimefeli na kugonga mwamba
Jul 14, 2021 08:02Waziri wa Mashauri wa Kigeni wa Iran amesema kuwa vikwao vya Marekani dhidi ya Iran vilivyotajwa kuwa ni vya kulemaza vimefeli na kushindwa.
-
Masharti ya Maduro kwa ajili ya kufanya mazungumzo na wapinzani
Jul 14, 2021 04:08Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametangaza kuwa yupo tayari kufanya duru nyingine ya mazungumzo na wapinzani wa serikali iwapo baadhi ya masharti aliyotoa yatatimizwa.
-
Asilimia 73 ya Wamarekani wanaunga mkono kuhitimishwa miaka 20 ya kukaliwa kwa mabavu Afghanistan
Jul 11, 2021 21:56Sambamba na kuendelea harakati za Washington za kuwaondoa wanajeshi wake huko Afghanistan, matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa nchini Marekani unaonyesha kuwa akthari ya wananchi wa Marekani wanaunga mkono kuhitimishwa miaka 20 ya kukaliwa kwa mabavu Afghanistan.
-
Hizbullah: Marekani itashindwa katika vita ya kiuchumi kama ilivyoshindwa katika vita vya kijeshi
Jul 11, 2021 03:38Mjumbe wa Kamati Kuu ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, mhimili wa Marekani kama ulivyoshindwa katika vita vya kijeshi katika eneo la Asia Magharibi utashindwa pia katika vita vya kiuchumi.
-
Russia yatiwa wasiwasi kutokana na kuhusika Marekani katika mauaji ya Rais wa Haiti
Jul 09, 2021 08:00Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuhusu taarifa za kukamatwa raia wawili wa Marekani kwa tuhuma za kuhusika katika mauaji ya Rais wa Haiti na kusema kuwa, Moscow imeingia wasiwasi mkubwa kufuatia ripoti hizo.
-
Hatua mpya ya Russia ya kuachana na utegemezi wa sarafu ya dola
Jul 09, 2021 05:20Wizara ya Fedha ya Russia imetangaza kuwa, imeondoa kikamilifu sarafu ya dola kwenye Mfuko wa Hazina ya Taifa wa nchi hiyo uliokuwa na akiba ya takriban dola bilioni 65 na kuzibadilisha fedha hizo katika sarafu nyingine za kigeni.
-
Kataib Hizbullah: Mapambano yataendelea hadi askari wa mwisho wa Marekani atakapoondoka Iraq
Jul 09, 2021 03:35Afisa wa Batalioni ya Kataib Hizbullah nchini Iraq amesema kuwa mapambano dhidi ya wanajeshi wa Marekani walioko nchini humo yataendelea hadi wanajeshi wote wa nchi hiyo watakapoondoka katika ardhi ya Iraq.
-
Safari ya Naibu Waziri wa Ulinzi wa Saudia Marekani na kubadilika msimamo wa serikali ya Biden kuhusu Riyadh
Jul 08, 2021 23:10Akiwa katika siku ya pili ya safari yake nchini Marekani, Khalid bin Salman, Naibu Waziri wa Ulinzi wa Saudi Arabia siku ya Jumatano alionana na kuzungumza huko Washington na Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, miongoni mwa viongozi wengine wa nchi hiyo.
-
Mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrallah kuhusu duru mpya ya vita vya Marekani dhidi ya muqawama kupitia vyombo vya habari
Jul 07, 2021 06:40Sayyid Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Jumatatu alitoa hotuba akiashiria hatua ya Marekani kuteka na kufunga tovuti za habari zinazofungamana na harakati za muqawama au mapamabano ya Kiislamu ambapo ametoa sababu kadha za uhasama huo wa Marekani.