Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Katika siku 100 za kwanza za urais wake, Biden ametoa kauli 67 za uongo na upotoshaji

    Katika siku 100 za kwanza za urais wake, Biden ametoa kauli 67 za uongo na upotoshaji

    Apr 27, 2021 23:14

    Jopo la kutafiti uhakika wa mambo la gazeti la Washington Post limeeleza katika ripoti yake ya kutathmini siku 100 za kwanza za utendaji wa Rais Joe Biden wa Marekani, kwamba katika hotuba alizotoa, mahojiano aliyofanyiwa na jumbe za Twitter alizotuma hadi sasa, kiongozi huyo ametoa madai 67 ya uongo au upotoshaji mambo.

  • CAIR: Manyanyaso dhidi ya Waislamu yaliongezeka kwa asilimia 9 nchini Marekani mwaka uliopita

    CAIR: Manyanyaso dhidi ya Waislamu yaliongezeka kwa asilimia 9 nchini Marekani mwaka uliopita

    Apr 27, 2021 03:14

    Kundi linaloongoza kwa kutetezi haki za Waislamu nchini Marekani lilitangaza Jumatatu ya jana kwamba kumekuwepo ongezeko la asilimia 9 ya idadi ya malalamiko ya unyanyasaji dhidi ya Waislamu ambayo yalipokewa mwaka uliopita wa 2020 ikilinganishwa na mwaka wa kabla yake.

  • Kuanza mchakato wa kuondoka askari wa Marekani na wa NATO kutoka nchini Afghanistan

    Kuanza mchakato wa kuondoka askari wa Marekani na wa NATO kutoka nchini Afghanistan

    Apr 26, 2021 23:51

    Jenerali Austin Scott Miller, kamanda wa askari wa Marekani na wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) nchini Afghanistan alitangaza Jumapili iliyopita katika mkutano wake na waandishi wa habari kwamba, mchakato wa kuondoka wanajeshi wa Marekani na wa NATO huko Afghanistan umeanza katika baadhi ya vituo vya kijeshi nvya nchi hiyo na kwamba, vituo vyote vya kijeshi vitakabidhiwa kwa vikosi vya Kiafghani.

  • Saudi Leaks: Bin Salman anatumia pombe, ni mraibu wa dawa za kulevya

    Saudi Leaks: Bin Salman anatumia pombe, ni mraibu wa dawa za kulevya

    Apr 26, 2021 23:50

    Mtandao wa Saudi Leaks umefichua kuwa, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman anatumia dawa za kulevya ni ni mraibu wa heroni.

  • Wamarekani zaidi ya elfu 13 wameaga dunia kwa silaha moto tangu mwanzoni mwa mwaka huu

    Wamarekani zaidi ya elfu 13 wameaga dunia kwa silaha moto tangu mwanzoni mwa mwaka huu

    Apr 26, 2021 23:50

    Ripoti iliyotolewa katika makavazi ya ukatili wa silaha nchini Marekani inaonyesha kuwa, zaidi ya watu elfu 13 wamepoteza maisha katika matukio ya ufyatuaji risasi nchini humo tangu mwanzoni mwa mwaka huu wa 2021.

  • Malalamiko yaendelea Marekani kupinga ubaguzi na ukandamizaji wa polisi

    Malalamiko yaendelea Marekani kupinga ubaguzi na ukandamizaji wa polisi

    Apr 25, 2021 21:59

    Maandamano yanaendelea katika jimbo la Carolina Kaskazini nchini Marekani kulaani ubaguzi wa rangi na ukandamizaji wa jeshi la polisi la nchi hiyo baada ya kuuliwa na polisi, Mmarekani mwengine mwenye asili ya Afrika kwenye jimbo hilo.

  • Yafichuka: Bin Salman anahonga vyombo vya habari ili kusafisha sura yake duniani

    Yafichuka: Bin Salman anahonga vyombo vya habari ili kusafisha sura yake duniani

    Apr 25, 2021 07:49

    Mtandao mmoja wa habari nchini Marekani umefichua kuwa, mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia, Muhammad bin Salman amefunga mkataba wa gharama kubwa ya fedha na kampuni moja ya Marekani kwa shabaha ya kuboresha sura yake iliyochafuka sana mbele ya macho ya walimwengu.

  • Pentagon: Wanajeshi wa Marekani wanashambuliwa kwa

    Pentagon: Wanajeshi wa Marekani wanashambuliwa kwa "nishati na mawimbi yanayoongozwa kutoka mbali"

    Apr 25, 2021 06:17

    Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon, imedai kuwa, wanajeshi wa nchi hiyo wanashambuliwa na nchi za Russia na China kwa kutumia mawimbi na nishati yanayoongozwa kutoka mbali.

  • Marekani yaibua shaka kuhusu kufungamana kwake na JCPOA na kuondoa vikwazo

    Marekani yaibua shaka kuhusu kufungamana kwake na JCPOA na kuondoa vikwazo

    Apr 24, 2021 06:13

    Afisa mmoja wa ngazi ya juu katika serikali ya Marekani alisema Alkhamisi kwamba hakuna dhamani ya kimaandishi itakayotolewa na serikali hiyo kuthibitisha kwamba haitajiondoa tena katika mapatano ya nyukilia na Iran na madola mengine makuu ya dunia, mashuhuri kama JCPOA.

  • Mashirika 40 ya kutetea haki za binadamu yamtakaka Biden afutilie mbali vikwazo dhidi ya Iran

    Mashirika 40 ya kutetea haki za binadamu yamtakaka Biden afutilie mbali vikwazo dhidi ya Iran

    Apr 22, 2021 21:53

    Huku virusi vya corona vikiwa vinaenea kwa kasi katika maeneo tofauti ya duniani ikiwemo Iran, hatua ya Marekani ya kuiwekea vikwazo vya kidhalimu na vya upande mmoja Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vinazuia juhudi za Tehran za kununua katika masoko ya kimataifa bidhaa na vifaa vya mataibabu kwa ajili ya kupambana na virusi hivyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS