-
Harakati ya Nujabaa: Kuendelea kuwepo kijeshi Marekani ndio hatari kubwa zaidi kwa Iraq
Apr 15, 2021 08:32Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Nujabaa nchini Iraq amesisitiza kuwa, kuendelea kuwepo kijeshi Marekani, ndio hatari kubwa zaidi inayotishia usalama wa Iraq.
-
Mkuu wa CIA: Marekani inajitia hatarini kuwaondoa askari nchini Afghanistan
Apr 15, 2021 08:15Mkuu wa shirika la ujasusi la Marekani CIA amesema, nchi hiyo inajihatarisha kwa kuchukua uamuzi wa kuwaondoa askari wake nchini Afghanistan.
-
Alkhamisi tarehe 15 Aprili 2021
Apr 14, 2021 21:55Leo ni Alkhamisi tarehe Pili Ramadhani mwaka 1442 Hijria inayosadifiana na tarehe 15 Aprili
-
Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran; kwenda sambamba na Washington na Tel Aviv
Apr 14, 2021 08:18Baraza la Umoja wa Ulaya Jumatatu tarehe 12 mwezi huu wa Aprili liliwajumuisha maafisa 8 na taasisi 3 katika ordha ya vikwazo dhidi ya Iran kwa kisingizio cha eti kukiuka haki za binadamu. Aidha baraza hilo limechukua uamuzi wa kurefusha hatua zake dhidi ya Iran hadi tarehe 13 mwezi Aprili mwaka kesho kwa kisingizio cha kile ilichokitaja kuwa ukiukaji wa haki za binzdamu.
-
Msafara wa wanajeshi vamizi wa Marekani washambuliwa kusini mwa Iraq
Apr 13, 2021 22:06Duru za habari za Iraq zimetangaza kuwa, msafara wa magari yaliyokuwa yamepakia vifaa mbalimbali na zana za kijeshi kwa ajili ya wanajeshi vamizi wa Marekani umeshambuliwa kusini mwa nchi hiyo.
-
Marekani yasimamisha chanjo ya corona ya Johnson & Johnson kwa hofu ya kuganda damu
Apr 13, 2021 22:05Marekani imesitisha matumizi ya chanjo ya virusi vya corona iliyotengenezwa na kampuni ya dawa ya nchi hiyo, Johnson and Johnson, ambayo kuna madai kuwa inasababisha kuziba kwa mishipa kama matokeo ya tatizo la kuganda kwa damu kwa watu waliopewa chanjo hiyo.
-
Kukiri Biden juu ya kuudhiwa na kubughudhiwa Waislamu nchini Marekani
Apr 13, 2021 21:52Rais Joe Biden wa Marekani amekiri katika ujumbe wake kwa mnasaba wa kuwadia mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani juu ya kuudhiwa na kubughudhiwa Waislamu katika jamii ya Marekani.
-
Marekani yasisitiza Israel ni mshirika wake wa kistratejia katika eneo
Apr 11, 2021 08:13Waziri wa Ulinzi wa Marekani amesema, utawala wa Kizayuni wa Israel ni mshirika wa kistratejia wa nchi hiyo katika eneo la Asia Magharibi.
-
Mgogoro wa mauaji ya kiholela Marekani na kilio cha Joe Biden, rais wa nchi hiyo
Apr 09, 2021 22:01Rais Joe Biden wa Marekani amelalamikia vikali mashambulizi ya silaha moto na mauaji ya kiholela nchini humo na ametaka uhalifu huo ukomeshwe mara moja. Amesema, mashambulizi ya silaha moto Marekani ni sawa na ugonjwa wa kuambukiza na ni aibu kwa nchi hiyo kimataifa.
-
Walensky : Ubaguzi wa rangi ni tishio kwa mfumo wa afya wa Marekani
Apr 09, 2021 09:36Mkurugenzi wa Kituo cha Kudhibiti Magonjwa nchini Marekani amesema kuwa, ubaguzi wa rangi ni tishio kubwa kwa mfumo wa afya ya umma nchini humo.