-
Ushahidi mpya unaothibitisha uhusiano wa karibu wa Marekani na magaidi wa ISIS
Apr 09, 2021 06:36Marekani ina nafasi kubwa ya kuzuka na kupata nguvu magenge ya kigaidi hususan genge la kigaidi la Daesh (ISIS) hasa katika nchi za Kiislamu za Iraq na Syria. Sasa hivi ushahidi mpya umetolewa unaozidi kufichua uhusiano wa karibu sana baina ya Marekani na magaidi hao makatili.
-
Kikao cha pamoja cha JCPOA; matarajio ya kundi la 4+1 na matumaini ya Iran
Apr 08, 2021 03:37Kikao cha 18 cha Kamisheni ya Pamoja ya JCPOA kilifanyika juzi Jumanne huko Vienna mji mkuu wa Austria kwa kuhudhuriwa na wawakilishi wa kundi la 4+1 na pia Iran. Nchi wanachama wa mapatano ya JCPOA baada ya majadiliano na kuchunguza mapatano hayo zimekubaliana kuendeleza mashauriano katika ngazi ya kitaalamu ili kuiondolea Iran vikwazo.
-
Tathmini ya kikao cha tatu cha Baghdad na washington
Apr 07, 2021 22:07Duru mpya ya mazungumzo ya kistratijia baina ya Baghdad na Washington ilianza jana Jumatano kwa njia ya video. Taarifa iliyotolewa huko nyuma na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ilisema kuwa mazungumzo hayo yatahusu usalama, namna ya kupambana na ugaidi, nishati na masuala ya kisiasa.
-
Araqchi: Mkutano wa Kamisheni ya Pamoja ya JCPOA Vienna ni chanya
Apr 07, 2021 03:17Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa ameashiria kuhusu mkutano wa jana Jumanne mjini Vienna wa Kamisheni ya Pamoja ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kusisitiza kuwa, muelekeo wa kikao hicho ni chanya na wenye kutia matumaini.
-
Yafichuka: Mossad imehusika katika jaibio la mapinduzi nchini Jordan
Apr 05, 2021 08:25Tovuti ya Axios ya Marekani imefichua kuwa, shirika la ujasusi la Israel, MOSSAD, limehusika katika jaribio la mapinduzi lililofanyika nchini Jordan.
-
Sisitizo la Marekani la kuiunga mkono Saudi Arabia; utendaji wa kindumakuwili wa serikali ya Biden
Apr 05, 2021 04:58John Kirby, msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) alitangaza Jumamosi ya juzi katika mkutano wake na waandishi wa habari kwamba, Washington itaendelea kuiunga mkono na kuihami Saudi Arabia.
-
Kuondolewa vikwazo dhidi ya maafisa wa Mahakama ya ICC vilivyowekwa wakati wa utawala wa Trump
Apr 04, 2021 07:59Serikali ya Rais Joe Biden wa Marekani imetangaza kuondoa vikwazo vilivyokuwa vimewekwa na serikali iliyopita ya Donald Trump dhidi ya maafisa wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Jengo la Congress la Marekani lafungwa kutokana na vitisho vya kiusalama
Apr 03, 2021 02:54Vyombo vya habari vimetangaza kuwa, jengo la Congress ya Marekani limefungwa kutokana na vitisho vya kiusalama.
-
Zarif: Hakuna udharura wa kufanyika mkutano kati ya Iran na Marekani
Apr 02, 2021 22:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema hakuna mazungumzo yoyote yatakayofanyika baina ya Jamhuri ya Kiislamu na Marekani juu ya kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, na kwamba hakuna udharura wa kufanyika mkutano baina Tehran na Washington.
-
Kuimarishwa uhusiano wa Venezuela na Russia, jibu muafaka kwa uadui wa Marekani
Apr 02, 2021 22:04Russia na Venezuela zimechukua hatua nyingine ya kuimarisha uhusiano wao kwa kuanzisha kamisheni ya viongozi wa nchi mbili na vile vile kuanzisha kamisheni tano za pamoja za kiufundi.