Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Marekani yarejea kutumia ibara ya

    Marekani yarejea kutumia ibara ya "ardhi zinazokaliwa kwa mabavu" huko Ukingo wa Magharibi

    Apr 01, 2021 22:18

    Serikali mpya ya Marekani katika ripoti yake ya kila mwaka imetumia ibara ya "ardhi zinazokaliwa kwa mabavu" huko Ukingo wa Magharibi mwa Mto Jordan; ambapo serikali za kabla yake ziliacha kutumia jina hilo.

  • Kulipwa Marekani na Sudan fidia ya mashambulio katika balozi zake huko Tanzania na Kenya

    Kulipwa Marekani na Sudan fidia ya mashambulio katika balozi zake huko Tanzania na Kenya

    Apr 01, 2021 21:55

    Serikali ya Sudan ili iondolewe katika orodha ya Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani ya mataifa eti yanayounga mkono ugaidi, imeilipa Washington fidia ya mamilioni ya dola katika tukio la kushambuliwa balozi za Marekani huko Tanzania na Kenya.

  • Mgogoro katika uhusiano wa Russia na Marekani

    Mgogoro katika uhusiano wa Russia na Marekani

    Apr 01, 2021 03:32

    Balozi wa Russia nchini Marekani amesema kuwa licha ya juhudi kubwa zilizofanywa na Moscow kwa ajili ya kuanzishwa mazungumzo na Washington lakini bado uhusiano wa nchi mbili hizo uko katika mgogoro mkubwa.

  • Idadi ya watoto wanaosumbuliwa na njaa yaongezeka kwa 50% Marekani

    Idadi ya watoto wanaosumbuliwa na njaa yaongezeka kwa 50% Marekani

    Apr 01, 2021 02:51

    Takwimu za karibuni kabisa nchini Marekani zinaonyesha kuwa idadi ya watoto wanaosumbuliwa na njaa nchini humo imeongezeka kwa asilimia 50.

  • Sudan yalipa fidia ya mashambulizi katika balozi za Marekani za Tanzania na Kenya

    Sudan yalipa fidia ya mashambulizi katika balozi za Marekani za Tanzania na Kenya

    Mar 31, 2021 21:46

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema kuwa, serikali ya Sudan imeilipa fidia nchi hiyo kutokana na mashambulizi ya mabomu ya mwaka 1998 kwenye balozi za Marekani za Nairobi na Dar es Salaam katika nchi za Kenya na Tanzania.

  • Taasisi 27 za Marekani zamtaka Biden apunguze mizozo na Russia

    Taasisi 27 za Marekani zamtaka Biden apunguze mizozo na Russia

    Mar 31, 2021 21:46

    Taasisi 27 za nchini Marekani zimemtaka rais wa nchi hiyo, Joe Biden ajiepushe na kushadidisha mivutano na misuguano na Russia.

  • Russia: Marekani ingali inaiba mafuta na ngano ya Syria

    Russia: Marekani ingali inaiba mafuta na ngano ya Syria

    Mar 30, 2021 22:33

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Russia amesema kuwa, Marekani inaendelea kuiba na kutorosha mafuta na ngano ya Syria.

  • Wakili wa Floyd awakosoa Wamarekani kwa kupuuza uhalifu na ubaguzi dhidi ya watu weusi

    Wakili wa Floyd awakosoa Wamarekani kwa kupuuza uhalifu na ubaguzi dhidi ya watu weusi

    Mar 30, 2021 22:32

    Wakili wa familia ya George Floyd amewakosoa Wamarekani kwa kupuuza jinai na uhalifu unaofanywa kwa makusudi dhidi ya jamii ya watu weusi nchini humo.

  • Kuendelea mivutano kati ya China na Marekani

    Kuendelea mivutano kati ya China na Marekani

    Mar 29, 2021 22:00

    Licha ya kuwepo utabiri wa awali kwamba mivutano iliyokuwepo kati ya China na nchi za Magharibi na hasa Marekani katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump ingepungua pakubwa mara tu baada ya kuoondoka madarakani rais huyo na kuingia White House Joe Biden, lakini mivutano hiyo ingalipo bali imeongezeka hata zaidi.

  • Wanajeshi vamizi wa Marekani wanapora ngano ya Syria

    Wanajeshi vamizi wa Marekani wanapora ngano ya Syria

    Mar 28, 2021 06:33

    Wanajeshi vamizi wa Marekani wamepora malori 38 ya ngano ya Syria iliyokuwa katika maghala huko Tal Alou katika mkoa wa Hasaka kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS