Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Meja Jenerali Salami: Adui hawezi kuvumilia kuona Iran inastawi

    Meja Jenerali Salami: Adui hawezi kuvumilia kuona Iran inastawi

    Feb 04, 2021 23:23

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema maadui wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanahamaki na kushindwa kuvumilia hatua za maendeleo na ustawi zinazopigwa na taifa hili.

  • Waziri: Magaidi wa ndani ya Marekani ndilo tishio kubwa kwa usalama wetu

    Waziri: Magaidi wa ndani ya Marekani ndilo tishio kubwa kwa usalama wetu

    Feb 04, 2021 23:22

    Waziri wa Usalama wa Ndani wa Marekani amekiri kwamba kuna magaidi ndani ya nchi hiyo na kwamba, magaidi hao ni tishio kubwa sana kwa nchi hiyo.

  • Misafara 2 ya kijeshi ya Marekani yashambuliwa nchini Iraq

    Misafara 2 ya kijeshi ya Marekani yashambuliwa nchini Iraq

    Feb 04, 2021 23:21

    Duru za kiusalama zimeripoti habari ya kushambuliwa misafara miwili ya kilojistiki ya jeshi vamizi la Marekani katikati na kusini mwa Iraq.

  • Rais Rouhani: Kwa mara nyingine tena, Iran imeipiga mweleka Marekani

    Rais Rouhani: Kwa mara nyingine tena, Iran imeipiga mweleka Marekani

    Feb 04, 2021 09:25

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ya kukataa pingamizi la Marekani kuhusu mashataka ya Tehran dhidi yake, ni ushindi mwingine kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Marekani pia yarefusha kwa miaka 5 mingine mkataba wa New START iliosaini na Russia

    Marekani pia yarefusha kwa miaka 5 mingine mkataba wa New START iliosaini na Russia

    Feb 04, 2021 00:56

    Baada ya muda wa chini ya wiki moja tangu rais wa Russia aliposaini mpango wa kurefusha mkataba wa New START, waziri wa mambo ya nje wa Marekani ametangaza kuwa nchi hiyo nayo pia imesaini mpango wa kurefusha mkataba huo.

  • Zarif: Marekani sharti itekeleze wajibu wake kwa kurejea katika JCPOA

    Zarif: Marekani sharti itekeleze wajibu wake kwa kurejea katika JCPOA

    Feb 02, 2021 00:16

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani haina budi kutekeleza wajibu na majukumu yake kwa kurejea katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Blinken na madai mapya kwa ajili ya kurejea katika JCPOA

    Blinken na madai mapya kwa ajili ya kurejea katika JCPOA

    Feb 01, 2021 23:31

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani kwa mara nyingine tena amekariri hamu ya Washington ya kutaka kurejea katika mapatano ya JCPOA na kisha akatoa madai mapya kama sharti la kurejea katika mapatano hayo.

  • Marekani yaingiza shehena ya zana za kijeshi mashariki mwa Syria

    Marekani yaingiza shehena ya zana za kijeshi mashariki mwa Syria

    Feb 01, 2021 23:30

    Duru mbalimbali za habari zimearifu kuwa, silaha na zana za kilojistiki za wanajaeshi magaidi wa Marekani zimeonekana zikiingizwa katika maidani ya mafuta huko Koniko kaskazini mashariki mwa Deir Zor.

  • Biden: Mamilioni ya watu wamepoteza ajira Marekani kutokana na corona

    Biden: Mamilioni ya watu wamepoteza ajira Marekani kutokana na corona

    Feb 01, 2021 04:49

    Rais wa Marekani, Joe Biden amesema kuwa, mamilioni ya wananchi wa nchi hiyo hawana ajira baada ya kupoteza kazi zao kutokana na janga la ugonjwa wa COVID-19.

  • Kuchaguliwa Robert Malley kama mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala ya Iran na kelele zisizo na maana zilizofuata

    Kuchaguliwa Robert Malley kama mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala ya Iran na kelele zisizo na maana zilizofuata

    Jan 31, 2021 06:41

    Baada ya kuingia madarakani serikali mpya ya Joe Biden nchini Marekani na kutangazwa msimamo wake kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran ambayo ni maarufu kama JCPOA, ilikuwa inatarajiwa kuwa kungekuwa na mabadiliko maalumu katika uga huu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS