Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Marekani yakataa kuondoa kikamilifu wanajeshi wake walioko Afghanistan

    Marekani yakataa kuondoa kikamilifu wanajeshi wake walioko Afghanistan

    Jan 30, 2021 23:21

    Marekani imetazama upya aghalabu ya sera na hatua za serikali iliyotangulia ya Trump baada ya kuingia madarakani serikali mpya ya Joe Biden. Siasa za Washington kuhusu Afghanistan na kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini humo ni kati ya masuala hayo.

  • Syria yalalamika kuhusu jinai zinazofanywa na magaidi wanaopata himaya ya Marekani

    Syria yalalamika kuhusu jinai zinazofanywa na magaidi wanaopata himaya ya Marekani

    Jan 30, 2021 08:58

    Syria imesema wanaotenda jinai dhidi ya watoto wa Syria wakiwemo magaidi na wanamgambo wa Kikurdi wa SDF wanapata himaya ya Marekani.

  • Ukosoaji wa kuchelewa wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusu kadhia ya Palestina

    Ukosoaji wa kuchelewa wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kuhusu kadhia ya Palestina

    Jan 29, 2021 23:14

    Akizungumza Jumanne katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichoandaliwa kwa ajili ya kujadili masuala ya eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) Ahmad Abu al-Ghait, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu au kwa jina jingine Arab League, alisema kuwa Wapalestina wamepitia mashinikizo makubwa yasiyo na mfano wake katika miaka minne ya utawala wa rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump.

  • Iran: Ni Marekani ndiyo yenye wajibu wa kurudi kwenye JCPOA

    Iran: Ni Marekani ndiyo yenye wajibu wa kurudi kwenye JCPOA

    Jan 29, 2021 09:43

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, hivi sasa ni Marekani ndiyo yenye wajibu wa kurejea kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kutekeleza ahadi na majukumu yake.

  • EU na US kufanya mkutano wa kujaribu kuinusuru JCPOA

    EU na US kufanya mkutano wa kujaribu kuinusuru JCPOA

    Jan 29, 2021 04:19

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema mazungumzo baina ya nchi za Ulaya na Marekani kuhusu kurejea Washington katika makubaliano ya nyuklia ya Iran yataanza hivi karibuni.

  • Iran yasema huenda ikapunguza kiwango cha ushirikiano wake na IAEA

    Iran yasema huenda ikapunguza kiwango cha ushirikiano wake na IAEA

    Jan 28, 2021 23:22

    Mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mashirika ya kimataifa yenye makao yao Vienna amesema yumkini Tehran itatazama upya kiwango cha ushirikiano wake na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA.

  • Kujitakia makuu serikali ya Biden kuhusu Iran na mapatano ya JCPOA

    Kujitakia makuu serikali ya Biden kuhusu Iran na mapatano ya JCPOA

    Jan 28, 2021 07:23

    Maafisa wa serikali mpya ya Joe Biden nchini Marekani ambao huko nyuma walikuwa wakitoa matamshi kinyume na msimamo wa serikali ya wakati huo ya nchi hiyo, hivi sasa wanaonyesha kuwa na mitazamo sawa, bali hata kutumia lugha ile ile ya serikali ya Donald Trump kuhusu Iran na mapatano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Yemen: Kusitisha kuziuzia silaha Saudia na UAE hakutafuta doa la jinai za Marekani

    Yemen: Kusitisha kuziuzia silaha Saudia na UAE hakutafuta doa la jinai za Marekani

    Jan 28, 2021 03:55

    Mjumbe wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema kuhusu hatua ya Marekani ya kusitisha kwa muda kuziuzia silaha Saudi Arabia na Imarati kwamba kufanya hivyo hakutafuta doa la jinai za Washington za kushirikiana na nchi hizo mbili.

  • Serikali ya Biden kuangalia upya vikwazo walivyowekewa maafisa wa ICC

    Serikali ya Biden kuangalia upya vikwazo walivyowekewa maafisa wa ICC

    Jan 27, 2021 08:38

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani amesema kuwa serikali ya nchi hiyo imepanga kuangalia upya vikwazo vya Washington dhidi ya maafisa wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).

  • Watu 2 wauawa katika tukio la utekaji nyara jimboni Texas, Marekani

    Watu 2 wauawa katika tukio la utekaji nyara jimboni Texas, Marekani

    Jan 27, 2021 08:37

    Watekajinyara wamewaua watu wawili katika jimbo la Texas, Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS