-
Kwa nini China inaamini kujitoa Marekani katika JCPOA ndio chanzo cha mgogoro wa sasa kuhusu kadhia ya nyuklia ya Iran?
Oct 06, 2025 02:43China imetangaza kuwa, kujitoa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ndio chanzo cha mgogoro unaoshuhudiwa hivi sasa kuhusiana na kadhia ya nyuklia ya Iran.
-
Putin aonya: Kuipatia Ukraine makombora ya Tomahawk kutavuruga uhusiano wa Russia na Marekani
Oct 05, 2025 22:52Rais Vladimir Putin wa Russia amesema ikiwa Marekani itaipatia Ukraine makombora aina ya Tomahawk ili kufanyia mashambulio ya masafa marefu ndani ya Russia, hatua hiyo itapelekea kuvurugika husiano wa Moscow na Washington.
-
Radiamali ya watumiaji X kwa mpango wa Marekani wa kusitisha vita huko Gaza: hatuamini, Trump si mwaminifu
Oct 04, 2025 06:14Watumiaji wa mtandao wa kijamii wa X wamesisitiza haja ya kuwa macho dhidi ya mpango wa Rais wa Marekani wa kusitisha vita huko Gaza.
-
Mbinu ya ulaghai ya Trump; Je, shambulio dhidi ya Qatar litachukuliwa kuwa tishio la usalama dhidi ya Marekani?
Oct 03, 2025 22:56Trump ametoa amri ya kiutendaji akidai kuwa shambulio lolote katika ardhi ya Qatar litahesabiwa kuwa tishio la usalama kwa Marekani.
-
Rais wa Colombia aendeleza kampeni ya kumkosoa Rais Trump wa Marekani
Oct 02, 2025 06:47Katika siku za hivi karibuni, Rais Gustavo Petro wa Colombia, ameendeleza ukosoaji mkali dhidi ya Rais Donald Trump wa Marekani na sera za utawala wake.
-
Jinai za Marekani wakati wa uvamizi wa Iraq
Oct 02, 2025 04:56Jinai za Marekani wakati wa kuikalia kwa mabavu Iraq zilikuwa kubwa na mfano mchungu sana wa mauaji na uharibifu chini humo ambazo wavamizi wa Kimarekani walijaribu na hadi sasa wanaendelea kujaribu kuzihalalisha kwa majina tofauti ya udanganyifu.
-
Rais wa Colombia: Trump anapasa kufungwa jela kwa jinai za Gaza
Oct 01, 2025 07:19Rais wa Colombia, Gustavo Petro amekosoa vikali sera za mwenzake wa Marekani na kusema kuwa, Donald Trump ni mshiriki wa mauaji ya kimbari huko Gaza na anapaswa kufungwa jela.
-
Venezuela kutangaza 'hali ya hatari' iwapo itavamiwa na Marekani
Sep 30, 2025 23:02Serikali ya Venezuela imetangaza kuwa itaamilisha "Dikrii ya Dharura ya Kigeni" ikiwa Marekani itaanzisha mashambulizi yoyote ya kijeshi dhidi ya nchi hiyo.
-
Iran yalaani urejeshaji vikwazo vya UN vilivyokwisha muda wake uliofanywa na Marekani na Ulaya
Sep 30, 2025 04:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi ameikosoa Marekani na mataifa matatu ya Ulaya kwa kujaribu kutumia utaratibu wa 'snapback' wa makubaliano ya nyuklia ya mwaka 2015 ili kurejesha tena vikwazo vilivyokwisha muda wake vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Trump awaita 'wapumbavu' washirika wa Marekani wa Ulaya walioitambua nchi ya Palestina
Sep 30, 2025 03:34Rais wa Marekani Donald Trump amewashambulia vikali kwa kuwaita wapumbavu washirika wakuu wa Ulaya wa nchi hiyo ikiwemo Uingereza na Ufaransa kwa kuitambua rasmi nchi ya Palestina.