-
China haina wasiwasi, bali inashangaa; mbona Marekani inang'ang'ania kurejea Afghanistan?
Sep 29, 2025 04:02China imetangaza kwamba, njama za madola yaliyosababisha mgogoro wa Afghanistan za kujaribu kurejea nchini humo na kuweka kambi zao za kijeshi ni hatari kwa usalama wa ukanda mzima.
-
Kwa nini Trump anaishupalia jamii ya kimataifa iamini uwongo wake kuhusu Iran?
Sep 27, 2025 07:40Rais wa Marekani kwa mara nyingine tena amekariri katika houba aliyoitoa katika Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa madai yake ya uwongo na yasiyo na msingi dhidi ya Iran.
-
Vita vya Ukraine na faida nono kwa mashirika ya silaha ya Marekani
Sep 25, 2025 03:40Vita vya Ukraine, vilivyoanza mwishoni mwa mwezi Februari 2022, vimeleta mabadiliko makubwa ya kijiografia na kisiasa ulimwenguni.
-
Mjumbe maalumu wa US Syria: Israel na Syria zinakaribia kufikia makubaliano ya usalama
Sep 25, 2025 00:41Mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala ya Syria Tom Barrack amedai kuwa utawala wa kizayuni wa Israel na Syria zinakaribia kufikia makubaliano ya usalama.
-
Kamanda wa Iran: Israel haina ubavu wa kuanzisha vita bila ya msaada wa Marekani na NATO
Sep 25, 2025 00:10Kamanda mwandamizi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, utawala wa kizayuni wa Israel hauna uwezo wa kupigana bila ya kusaidiwa na shirika la kijeshi la NATO na Marekani, jambo linalodhihirisha kuwa makabiliano yanayoweza kutokea ni ya mpambano dhidi ya "ubeberu wa kimataifa."
-
Kwa nini Waziri Mkuu wa India amewataka wananchi kutumia bidhaa za ndani?
Sep 24, 2025 07:38Waziri Mkuu wa India amewataka wananchi wa nchi hiyo kuacha kutumia bidhaa kutoka nje na badala yake watumie bidhaa za ndani kufuatia kushtadi mivutano katika uhusiano wa nchi hiyo na Marekani.
-
Jihadul-Islami: US na Magharibi hazitaki vita Ghaza vikomeshwe mpaka makundi yote ya Muqawama yaangamizwe
Sep 23, 2025 03:00Harakati ya Jihadul-Islami ya Palestina imesema, hakuna mapendekezo mapya ya kusitisha vita Ghaza ambayo yamepokelewa hadi sasa na kuongeza kuwa, Marekani na nchi za Magharibi hazitaki kukomesha vita hivyo hadi pale makundi yote ya Muqawama yanayoupinga utawala wa kizayuni wa Israel, -na si Palestina pekee- bali katika eneo lote, yatakapotokomezwa.
-
Marekani inatafakari kuiwekea vikwazo mahakama nzima ya ICC kwa kuchunguza jinai za Israel Ghaza
Sep 23, 2025 02:59Marekani inatafakari juu ya kuiwekea vikwazo vikali Mahakama nzima ya Kimataifa ya Jinai (ICC) mapema wiki hii, hatua ambayo inaweza kuvuruga sana shughuli za mahakama hiyo katika kuchunguza uhalifu wa kivita uliofanywa na utawala wa kizayuni wa Israel huko Ghaza.
-
Netanyahu aiomba US iishinikize Misri ipunguze kujiimarisha kijeshi kwenye Peninsula ya Sinai
Sep 21, 2025 05:40Waziri Mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu ameiomba serikali ya Marekani iishinikize Misri ipunguze hatua za kujizatiti kijeshi katika eneo la Peninsula ya Sinai. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa jana Jumamosi na tovuti ya habari ya nchini Marekani ya Axios.
-
Taliban yamjibu Trump: Tunaweza kuzungumza, lakini Marekani haitaruhusiwa kuwepo tena kijeshi Afghanistan
Sep 19, 2025 07:35Serikali ya Afghanistan inayoongozwa na Taliban imetupilia mbali wito wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kutaka jeshi la nchi hiyo lirejee Afghanista na kupatiwa tena kambi ya jeshi la anga ya Bagram.