-
Balozi wa Iran: Hatua za upande mmoja za Marekani zinahatarisha utawala wa sheria
Oct 23, 2020 03:56Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema uchukuaji maamuzi ya upande mmoja wa Marekani unahatarisha utawala wa sheria katika ngazi ya kimatiaifa.
-
Zarif: Marekani inataka kuibua mashindano ya silaha duniani
Oct 23, 2020 00:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya Marekani kukataa kuongeza muda wa mkataba wa kupunguza silaha haribifu ni mfano wa wazi wa kutofungamana Marekani na mchakato wa kuleta uthabiti duniani na pia ni ishara ya nchi hiyo kuwa na hamu kubwa ya kuanzisha mashindano ya silaha duniani.
-
Mazoezi ya Kijeshi ya Japan, Marekani na Australia katika Bahari ya China Kusini
Oct 22, 2020 23:22Kikosi cha Tano cha Jeshi la Majini la Marekani kimetangaza habari ya kuanza mazoezi ya kijeshi ya nchi hiyo na majeshi ya Japan na Australia katika maji ya Bahari ya China Kusini. Haya ni mazoezi ya tano ya kijeshi ya pamoja ya nchi hiyo katika Bahari ya China Kusini katika mwaka huu wa 2020.
-
Obama: Uongo na kutuhumu watu ndiyo mbinu kuu ya serikali ya Trump
Oct 22, 2020 23:21Barack Obama, rais wa zamani wa Marekani amemshutumu vikali rais wa hivi sasa wa nchi hiyo na kusisitiza kwamba, kusema uongo na kutuhumu watu wengine ndiyo sifa kuu ya Donald Trump na wasaidizi wake.
-
Trump arudia ndoto zake za kuzungumza na Iran
Oct 22, 2020 08:55Rais wa Marekani, Donald Trump kwa mara nyingine amerudia ndoto yake ya kufanya mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iwapo atashinda urais.
-
Iran yakanusha madai ya kuingilia uchaguzi wa Marekani, yasema hauna umuhimu kwake
Oct 22, 2020 04:12Msemaji wa Ofisi ya Iran katika Umoja wa Mataifa amepuuzilia mbali madai kuwa Jamhuri ya Kiislamu inaingilia uchaguzi wa Marekani.
-
Kikao cha Baraza la Usalama la UN kuhusu usalama wa Ghuba ya Uajemi
Oct 21, 2020 08:48Eneo la Ghuba ya Uajemi ambalo ni miongoni mwa maeneo ya kistratijia ya dunia na yenye umuhimu mkubwa katika soko la kimataifa la masuala ya uchumi na nishati. Kwa kuzingatia uhakika huo usalama wa eneo hilo muhimu la majini daima umekuwa ukipewa mazingatio makubwa katika taasisi za Umoja wa Mataifa.
-
Russia yaitaka Marekani iache kujifanya 'polisi wa dunia'
Oct 20, 2020 04:29Russia imeikosoa vikali Marekani kwa kufuata tena mkondo ghalati wa kuzishinikiza nchi za dunia zifuate sera, matakwa na maagizo yake.
-
Sudan yakubali kuipa Marekani dola milioni 335 iondolewe katika orodha ya ugaidi
Oct 20, 2020 04:09Rais Donald Trump amesema Marekani itaiondoa Sudan katika orodha ya nchi 'zinazounga mkono ugaidi' baada ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika kukubali kuipa Washington dola milioni 335.
-
Hatami, Iran inakidhi asilimia 90 ya mahitaji yake ya kijeshi
Oct 19, 2020 04:09Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vimekuwa chanzo cha nchi hii kustawi na kujitosheleza katika sekta ya ulinzi. Ameongeza kuwa: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo inaweza kuzalisha ndani ya nchi asilimia 90 ya mahitaji yake yote ya kijeshi.