-
Malalamiko ya wanawake dhidi ya Trump na mustakbali wa rais huyo wa Marekani
Oct 19, 2020 02:47Katika siku zilizopita, wanawake nchini Marekani walifanya maandamano katika majimbo mbalimbali ya nchi hiyo likiwemo la Washington ili kutangaza upinzani wao kwa siasa za rais wa nchi hiyo, Donald Trump. Shabaha ya maandamano hayo ilikuwa ni kupinga ubaguzi wa rangi na ukandamizaji dhidi ya wanawake. Waendeshaji wa maandamano hayo waliahidi kuendelea na operesheni hiyo waliyoipa jina la maandamano 429 katika mikoa 50 ya Marekani.
-
Kukiri mshauri wa usalama wa taifa wa Marekani malengo halisi ya Washington dhidi ya Iran
Oct 18, 2020 23:00Tarehe 8 Mei 2018 Marekani chini ya utawala wa Donald Trump, ilijitoa kwenye mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA na kuiwekea Iran vikwazo vikubwa zaidi ambavyo havijawahi kutokea. Ijapokuwa awali serikali ya Trump ilidai kuwa inataka mapatano ya nyuklia ya JCPOA yaangaliwe upya ndio maana imejitoa kwenye makubaliano hayo, lakini hivi sasa inatangaza waziwazi lengo lake hasa la kujitoa kwenye mapatano hayo.
-
Sudan yaendelea kushinikizwa ianzishe uhusiano wa kawaida na utawala wa Israel
Oct 17, 2020 03:49Sudan inaendelea kushinikizwa ili ianzishe uhusiano wa kawaida wa kidiplomasia na utawala wa Kizayuni wa Israel. Marekani imetangaza bayana kuwa, sharti la Sudan kuondolewa katika orodha ya nchi ambazo zinaunga mkono ugaidi ni nchi hiyo kukubali kuanza kufanya mazungumzo yenye lengo la kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
-
Sisistizo la Russia la kushirikiana kijeshi na Iran baada ya kuondolewa vikwazo vya silaha
Oct 16, 2020 23:12Kwa mujibu wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa vikwazo vya silaha vya Iran vinamalizika tarehe 18 mwezi huu wa Oktoba 2020 baada ya kumalizika muda wa miaka mitano wa vikwazo hivyo. Russia ikiwa mwanachama wa kudumu wa Baraza la Usalama na moja kati ya nchi wanachama wa kundi la 4+1 imesisitiza kwamba itashirikiana kijeshi na Iran baada ya kumalizika vikwazo licha ya Marekani kufanya juhudi za kuongeza muda wa vikwazo hivyo.
-
Watu million 8 watumbukia katika umasikini Marekani kutokana na corona
Oct 16, 2020 10:14Mamilioni ya Wamarekani wametumnbukia katika umasikini kutokana na atharii mbaya za janga la corona kwa uchumi wa nchi hiyo.
-
Russia yasema Marekani ndio mkiukaji mkubwa zaidi wa haki za binadamu duniani
Oct 16, 2020 03:11Marekani ambayo ni mkiukaji mkubwa zaidi wa haki za binadamu duniani na ambayo ina rekodi nyeusi kuhusu suala hilo, daima imekuwa ikikwepa kujibu maswali ya raia wake kuhusu jambo hilo na badala yake kuzituhumu nchi nyingine ikiwemo Russia kwamba haziheshimu haki za binadamu.
-
Sera za upande mmoja za Marekani ni tishio kwa jamii ya kimataifa
Oct 15, 2020 23:05Mjumbe wa Iran katika Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amesema kuendelea sera za kujichukulia maamuzi ya upande mmoja ni tishio la kimataifa katika kuunga mkono na kuinua kiwango cha haki za binadamu.
-
Iran yakosoa kimya cha jamii ya kimataifa mkabala wa ubabe wa Marekani
Oct 15, 2020 04:21Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amesema uchukuaji hatua za upande mmoja wa Marekani ndilo tishio kuu kwa haki za binadamu duniani, huku akikosoa kimya cha jamii ya kimataifa mkabala wa ubabe huo wa Washington.
-
Pompeo ahalalisha mauzo ya silaha kwa Saudia kwa kuichafua Iran
Oct 15, 2020 04:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amekariri tuhuma na madai yake yasiyo na msingi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, na kutumia uenezaji huo wa chuki dhidi ya Iran kuhalalisha mauzo ya silaha zenye thamani ya mabilioni ya dola za US kwa Saudi Arabia.
-
Russia: Marekani ndio mvunjaji mkubwa zaidi wa haki za binadamu duniani
Oct 15, 2020 03:56Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Ofisi za Umoja wa Mataifa mjini Geneva Uswisi amesema Marekani ndio mkiukaji mkubwa zaidi wa haki za binadamu duniani.