-
Yemen: Marekani ni mama wa ugaidi na mtengenezaji wa migogoro
Oct 13, 2020 22:53Mkurugenzi wa Idara ya Baraza Kuu ya Siasa ya Yemen amesema kuwa Marekani ndio mama wa ugaidi na muanzishaji wa migogoro inayolisumbua taifa la Yemen.
-
Ndoto za alinacha za Trump za kufanya mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Oct 13, 2020 22:53Rais Donald Trump wa Marekani akiwa na lengo la kujijengea nafasi nzuri wakati huu wa kukaribia uchaguzi nchini humo, anahitajia kutoa madai ya kufanikiwa katika sera za kigeni za nchi hiyo hasa kuhusiana na Iran.
-
Utafiti: Corona imeua Wamarekani wengi zaidi ya inavyoripotiwa
Oct 13, 2020 04:38Utafiti mpya unaonesha kuwa, idadi kubwa ya wananchi wa Marekani wamepoteza maisha kutokana na ugonjwa wa Covid-19 zaidi ya takwimu rasmi zilizotolewa.
-
El-Baradei: Mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi ya Marekani dhidi ya Iran yamefeli
Oct 13, 2020 04:18Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amekosoa vikali sera ya mashinikizo ya juu kabisa ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusisitiza kuwa, mashinikizo hayo yamegonga mwamba.
-
Khatibzadeh: Vikwazo vya silaha dhidi ya Iran vitaondolewa tarehe 18 Oktoba
Oct 12, 2020 23:11Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran unatarajiwa kumalizika usiku wa tarehe 18 mwezi huu.
-
Malengo ya Marekani ya kushadidisha vikwazo dhidi ya Iran; kwa mtazamo wa Waziri wa Ulinzi
Oct 12, 2020 07:38Sambamba na kuvunja vibaya maazimio na sheria za kimataifa, Marekani imeamua pia kuwawekea wananchi wa Iran vikwazo vya kidhalimu na inaendesha vita vya pande zote vya kiuchumi dhidi ya taifa hilo kubwa la Kiislamu.
-
Trump azuiwa kutumia bajeti ya masuala ya kijeshi kujenga ukuta wa mpakani
Oct 12, 2020 04:10Mahakama ya Rufaa nchini Marekani imetangaza kuwa ni marufuku na kupinga ombi la Trump aliyetaka kustafidi na bajeti ya kijeshi kwa ajili ya kujenga ukuta wa mpakani.
-
Harakati ya Muqawama ya Iraq yatahadharisha kuhusu kuchelewa Marekani kuondoka nchini humo
Oct 11, 2020 23:39Msemaji wa Harakati ya Kataeb Hizbullah ya Iraq ameashiria ombi la Marekani la kusitishwa operesheni zinazolenga vikosi vya nchi hiyo na kusisitiza kuwa: Wanamapambano wa Iraq hawatakaa kimya hata kidogo mkabala na kuchelewa Washington kuondoa wanajeshi wake katika ardhi ya Iraq.
-
Iran: Marekani ni kidhabi kwa kudai vikwazo vipya havilengi sekta ya afya
Oct 11, 2020 08:41Waziri wa Afya wa Iran amelaani hatua ya Marekani ya kuliwekea vikwazo shadidi taifa hili na kubainisha kuwa, utawala wa Washington umekubuhu kwa kusema uwongo, kwa madai yake kuwa vikwazo vipya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu havilengi sekta ya afya na tiba.
-
Marekani yaiba tena mafuta ya Syria na kuyapeleka Iraq
Oct 11, 2020 08:36Msafara wa malori 20 ya Marekani yaliyobeba mafuta ghafi yaliyoibwa kutoka visima vya mafuta vya Syria umeelekea nchini Iraq.