-
Makundi jamii ya ulinzi yaundwa US kukabiliana na machafuko ya baada ya uchaguzi, silaha zanunuliwa kwa wingi
Oct 10, 2020 04:26Baadhi ya raia wa Marekani ambao wanahofia uwezekano wa kutokea machafuko baada ya uchaguzi wa rais wameamua kuunda makundi jamii ya ulinzi, huku wengine wakikimbilia kwenye maduka ya silaha ili kununua bunduki kwa ajili ya usalama wao.
-
Vikwazo vipya vya Marekani, njama za juu zaidi za serikali ya Trump dhidi ya wananchi wa Iran
Oct 09, 2020 23:03Baada ya Marekani kujitoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei 2018, White House imewawekea wananchi wa Iran vikwazo vya kiwango cha juu na hadi hivi sasa bado viongozi wa Washington wanaendelea kuongeza vikwazo hivyo.
-
Pelosi ataka faili la hali ya kiafya ya Trump liwekwe wazi, Trump asema ni kichaa
Oct 09, 2020 23:02Spika wa Kongresi ya Marekani Nancy Pelosi amesema kuwa Wamarekani wana haja ya kujua hali ya kiafya ya Rais Donald Trump akiashiria maradhi yake ya virusi vya corona na kulazwa hospitalini kwa siku kadhaa.
-
Ahadi mpya za Trump za kuondoa wanajeshi Afghanistan; ahadi chapwa za kiuchaguzi
Oct 09, 2020 07:05Uchaguzi wa Rais nchini Marekani unazidi kukaribia huku hali ya kisiasa ya rais wa nchi hiyo, Donald Trump si nzuri mbele ya mpinzani wake Joe Biden. Ikulu ya White House na hasa Trump mwenyewe wanazidi kufanya lolote liwezekanalo, hata kutoa ahadi za maneno tena zenye migongano, ili kuvutia wapiga kura.
-
Zarif: Njama za Marekani za kuwaua Wairani kwa njaa ni jinai dhidi ya binadamu
Oct 09, 2020 04:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuiwekea Jamhuri ya Kiislamu vikwazo vipya vya kibenki na kusisitiza kuwa, taifa hili bila shaka litavuka salama udhalimu na ukatili huu mpya wa Washington.
-
Ravanchi: Mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa ya Marekani ni sawa na ugaidi wa kiserikali
Oct 09, 2020 04:14Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameyataja mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa ya Marekani kuwa ni sawa na ugaidi wa kiserikali na kueleza kuwa: Sera hizo zimeratibiwa lengo likiwa ni kuwasababishia mashaka na masaibu wananchi na pia kusababisha machafuko ya kijamii kwa mujibu wa siasa hizo za kifisadi ili kubadili serikali.
-
Borell akiri udharura wa Iran kunufaika na mkataba wa JCPOA
Oct 09, 2020 03:43Licha ya kuwa Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya ambayo inajumuisha nchi za Ujerumani, Ufaransa na Uingereza zilikuwa na mchango mkubwa katika kufanikisha mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama JCPOA, lakini baada ya Marekani kujitoa katika mapatano hayo, pande hizo zimekuwa na utendaji mbaya usioweza kutetewa kutokana na kuwa zimeshindwa kuyalinda na pia kutotekeleza ahadi zao, na hasa kuhusu kutofanikisha mfumo wa mabadilishano ya kifedha na kibiashara unaojulikana kama Instex.
-
Russia yabeza madai ya Trump kuhusu askari wa jeshi la kigaidi Marekani kuondoka Afghanistan
Oct 08, 2020 10:29Mwakilishi maalumu wa Rais wa Russia katika masuala ya Afghanistan amesema, madai ya rais wa Marekani kuhusu kuondoka askari magaidi wa nchi hiyo katika ardhi ya Afghanistan ni porojo tu la kampeni za uchaguzi.
-
Madai ya uongo ya Washington kuhusu hali ya corona nchini Iran
Oct 07, 2020 23:02Tangu Marekani ilipojiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hapo mwaka 2018 serikali ya Washington ilianza kutekeleza vikwazo vikali ambavyo havijawahi kushuhidiwa katika historia katika fremu ya kile kilichotajwa kuwa ni mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi.
-
60 wauawa na kujeruhiwa katika ufyatuaji risasi Marekani
Oct 07, 2020 01:15Watu 60 wameuawa au kujeruhiwa kwenye matukio ya ufyatuaji risasi katika maeneo tofauti ya Marekani ndani ya masaa machache yaliyopita.