-
Taarifa ya mataifa 26 ya dunia ya kulaani vikwazo vya upande mmoja vya Marekani
Oct 06, 2020 23:41Marekani ikiwa na lengo la kusukuma mbele gurudumu la siasa zake za kigeni inashikilia rekodi ya kuwa dola lililoyawekea mataifa mengine ya dunia vikwazo vya upande mmoja.
-
Mitazamo miwili kuhusiana na matukio ya usalama nchini Iraq
Oct 06, 2020 09:21Katika majuma ya hivi karibuni Iraq imeshuhudia mashambulio ya mara kwa mara dhidi ya ubalozi wa Marekani na vile vile mashambulio ya Washington dhidi ya ngome za Harakati ya Wananchi ya Hashd al-Shaabi.
-
Nchi 26 duniani zatoa wito wa kuhitimishwa vikwazo vya kidhalimu vya Marekani
Oct 06, 2020 04:42Nchi 26 ikiwemo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Syria, Russia, China na Iraq zimetangaza kuwa, vikwazo vya kidhalimu vya kiuchumi vya Marekani na baadhi ya nchi za Magharibi dhidi ya nchi nyingine zinazojitawala duniani vimekuwa kikwazo kikubwa katika mapambano ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona na zimetoa wito wa kuhitimishwa hali hiyo.
-
Onyo la Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu hatari ya kutokea maafa ya nyuklia duniani
Oct 05, 2020 03:35Kuongezeka maghala ya silaha za nyuklia na mashindano ya kuboresha silaha hizo ni jambo linalohatarisha usalama wa dunia, suala ambalo limeupelekea Umoja wa Mataifa kutangaza wazi wasiwasi wake kuhusiana na hatari hiyo.
-
Hali isiyojulikana ya uchaguzi wa Marekani baada ya Trump kulazwa kwa maradhi ya COVID-19
Oct 04, 2020 03:10Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kulazwa hospitali kutokana na kupatwa na virusi vya corona kumejitokeza hali ya sintofahamu kuhusu uchaguzi ujao wa rais nchini humo.
-
Malengo ya Marekani ya kuwasilisha mpango wa kufunga ubalozi wake Baghdad
Oct 03, 2020 03:30Serikali ya Marekani imetangaza mpango wa kufunga ubalozi wake katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad kutokana na kuendelea mashambulizi ya maroketi dhidi ya ubalozi huo.
-
Iran yaionya Marekani dhidi ya mahesabu ghalati
Oct 02, 2020 08:26Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nchi za Nje ya Iran amesema kuwa mahesabu yasiyo sahihi ya Marekani ndiyo sababu ya kushindwa kwake mbele ya taifa la Iran tangu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini.
-
Russia yachukua uwenyekiti wa mzunguko wa Baraza la Usalama la UN, yasema Iran haitawekewa vikwazo
Oct 02, 2020 08:01Baada ya Marekani kushindwa kurefusha zaidi vikwazo vya silaha dhidi ya Iran katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, utawala wa Trump umedai ni mwanachama wa mapatano ya nyuklia ya JCPOA na kwamba eti Iran imekiuka madai hayo na hivyo vikwazo vya kimataifa dhidi ya Iran vinarejea kiotomatiki. Msimamo huo wa Marekani umepingwa kikamilifu na madola yote makubwa duniani hasa Russia.
-
Faisal Mekdad: Askari wa Marekani wanapaswa kuondoka Syria
Oct 01, 2020 21:10Naibu Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Syria amesema kuwa magaidi ndio wenzo wa bei rahisi zaidi unaotumiwa na Marekani katika kanda ya magharibi mwa Asia na kwamba askari wa Marekani wanapaswa kuondoka katika ardhi ya Syria.
-
Onyo kali la China la kuzitungua ndege za kivita za Marekani
Oct 01, 2020 21:08Kufuatia kushadidi mivutano na mikwaruzano kati ya China na Marekani, Beijing imeonya kuwa ikiwa ndege zisizo na rubani, ndege za kivita au vyombo vingine vyovyote vya kijeshi vya Marekani vitashambulia ardhi au visiwa vya China na kuisababishia hasara, hapana shaka vitalengwa na kutunguliwa.