-
Rouhani: Mdahalo wa Urais umefichua matatizo yanayoikabili Marekani
Sep 30, 2020 09:21Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mdahalo wa kwanza wa wagombea wawili wa urais katika uchaguzi utakaofanyika Novemba mwaka huu nchini Marekani, Donald Trump wa chama cha Rebulican na Joe Biden wa Democratic umefichua kina cha matatizo na changamoto zinazoikabili serikali ya Washington.
-
Wamarekani waliowengi wamechukizwa na mdahalo baina ya Biden na Trump
Sep 30, 2020 03:50Asilimia 69 ya Wamarekani wamechukizwa na mdahalo wa kwanza wa Donald Trump na Joe Biden, wagombea wawili wa urais katika uchaguzi utakaofanyika Novemba mwaka huu.
-
Ufichuzi; Trump amekwepa kulipa kodi ya mapato kwa miaka 10
Sep 28, 2020 22:00Imebainika kuwa, Rais wa Marekani Donald Trump amekuwa akikwepa kulipa kodi ya mapato katika kipindi cha miaka 10 kati ya 15 iliyopita.
-
Iran yakadhibisha madai ya kufanya mazungumzo na Marekani nchini Oman
Sep 28, 2020 08:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekanusha vikali taarifa zinazodai kuwa Jamhuri ya Kiislamu imefanya mazungumzo na Marekani huko nchini Oman.
-
Sera za kuingilia kati za Macron nchini Lebanon
Sep 28, 2020 06:02Matukio ya Kisiasa ya hivi karibuni nchini Lebanon hususan baada ya mlipuko mkubwa uliotokea katika bandari ya Beirut mwezi Agosti mwaka huu ambao umepelekea kujiuzulu serikali ya nchi hiyo yametayarisha mazingira ya uingiliaji wa nchi za Magharibi hususan Ufaransa na Marekani katika masuala ya ndani ya nchi hiyo
-
Muamala wa Khartoum-Washington kwa ajili ya kuondoa jina la Sudan katika orodha ya waungaji mkono ugaidi
Sep 28, 2020 04:47Katika miezi ya karibinu Marekani imefanya jitihada kubwa za kuzishawishi nchi za Kiarabu na Kiislamu, ikiwemo Sudan, kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel.
-
Mgogoro waongezeka Marekani, wagonjwa wa corona wapindukia milioni 7 na laki 3
Sep 28, 2020 04:22Idadi ya wagonjwa wa corona waliothibitishwa nchini Marekani imevunja tena rekodi. Sasa imepindukia watu milioni saba na laki tatu.
-
Walioshambulia ubalozi wa Marekani mjini Baghdad ni mamluki wa Washington
Sep 27, 2020 10:18Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Nujabaa ya Iraq amesema, shambulio lililolenga maeneo jirani na ubalozi wa Marekani mjini Baghdad limefanywa na mamluki wa Marekani yenyewe.
-
"Shambulizi la Marekani dhidi ya mashujaa wa kukabiliana na ugaidi ni tusi kwa Iraq"
Sep 27, 2020 04:33Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema shambulizi la jeshi la Marekani lililoua shahidi mashujaa wa kupambana na ugaidi katika eneo la Asia Magharibi mapema mwaka huu ni tusi kwa mamlaka ya kujitawala Iraq.
-
Sudan: Kuondolewa katika orodha ya ugaidi kusihusishwe na kuanzisha uhusiano na Israel
Sep 27, 2020 04:28Waziri Mkuu wa Sudan amesema taifa hilo la Kiarabu la kaskazini mwa Afrika halitaki suala la kuondolewa jina la nchi hiyo katika orodha ya ugaidi ya Marekani lifungamanishwe na kadhia ya kuanzisha uhusiano wa kidoplomasia na utawala haramu wa Israel.