Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Rashida Tlaib: Waislamu hawatahadaiwa na mapatano ya Trump na Netanyahu

    Rashida Tlaib: Waislamu hawatahadaiwa na mapatano ya Trump na Netanyahu

    Aug 14, 2020 05:22

    Mbunge Mwislamu wa Kongresi ya Marekani, Rashida Tlaib, amepinga vikali hatua ya Imarati ya kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema kuwa: Waislamu hawatahadaiwa na mapatano ya Rais Donald Trump wa Marekani na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.

  • Juhudi za Pempeo kuiarifisha China kama tishio kwa nchi za Ulaya

    Juhudi za Pempeo kuiarifisha China kama tishio kwa nchi za Ulaya

    Aug 13, 2020 22:21

    Tokea aingie madarakani mwezi Januari 2017, Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akitekeleza siasa kali na za uhasama dhidi ya China ambapo amekuwa akiendesha vita vya kisiasa, kibiashara na kiusalama dhidi ya nchi hiyo muhimu ya Asia.

  • Iran: Pompeo amelihadaa bunge la nchi yake ili kumuuzia silaha mwashamoto wa vita katika eneo

    Iran: Pompeo amelihadaa bunge la nchi yake ili kumuuzia silaha mwashamoto wa vita katika eneo

    Aug 13, 2020 09:20

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amelihadaa bunge la nchi yake ili kuweza kumuuzia silaha mwashaji moto mkuu wa vita katika eneo hili la Asia Magharibi.

  • Onyo la Rouhani kuhusu JCPOA; Ulaya isitumbukie kwenye mtego wa Marekani

    Onyo la Rouhani kuhusu JCPOA; Ulaya isitumbukie kwenye mtego wa Marekani

    Aug 13, 2020 04:54

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa azimio lilopendekezwa na Marekani katika Barazala Usalama la Umoja wa Mataifa linakiuka moja kwa moja azimio nambari 2231 la baraza hilo na hivyo kuzitaka nchi zote na hasa zilizotia saini mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA, zilipinge.

  • Dakta Zarif: Kusambaratisha Marekani makubaliano ya nyuklia ya Iran kutakuwa ni kurejea katika 'sheria za mwituni'

    Dakta Zarif: Kusambaratisha Marekani makubaliano ya nyuklia ya Iran kutakuwa ni kurejea katika 'sheria za mwituni'

    Aug 13, 2020 03:38

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kusambaratisha kikamilifu Marekani makubaliano ya nyuklia ya Iran kutakuwa sawa na kurejea katika 'sheria za mwituni'.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani yuko katika duru nyingine ya safari barani Ulaya

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani yuko katika duru nyingine ya safari barani Ulaya

    Aug 13, 2020 02:09

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo ameanza duru mpya ya safari barani Ulaya baada ya safari nyingine wiki tatu zilizopita. Mara hii Pompeo anatembelea nchi nne za Ulaya ya Kati na Mashariki.

  • Marekani yalegeza msimamo kuhusu kurefushwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    Marekani yalegeza msimamo kuhusu kurefushwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran

    Aug 12, 2020 23:00

    Juhudi za Marekani za kutaka vikwazo vya silaha dhidi ya Iran virefushwe katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zimekabiliwa na changamoto kubwa.

  • Kauli ya Wizara ya Ulinzi ya Afghanistan kufuatia kupunguzwa idadi ya wanajeshi wa Marekani walioko nchini humo

    Kauli ya Wizara ya Ulinzi ya Afghanistan kufuatia kupunguzwa idadi ya wanajeshi wa Marekani walioko nchini humo

    Aug 11, 2020 02:27

    Wizara ya Ulinzi ya Afghanistan imetangaza kuwa, askari wa jeshi la nchi hiyo wanao uwezo wa kuilinda nchi yao na kupambana na magaidi. Kauli hiyo ya Wizara ya Ulinzi wa Afghanistan imetolewa kufuatia uamuzi wa Marekani wa kuendelea kupunguza idadi ya wanajeshi wake walioko nchini humo.

  • Safari ya waziri wa Marekani Taiwan; kuongezeka mvutano kati ya China na Marekani

    Safari ya waziri wa Marekani Taiwan; kuongezeka mvutano kati ya China na Marekani

    Aug 10, 2020 06:31

    Licha ya upinzani mkali wa China, Waziri wa Afya na Huduma za Kibinadamu wa Marekani jana Jumapili alifanya safari huko Taiwan akiwa ameandamana na ujumbe wa ngazi za juu wa nchi hiyo.

  • Watu 21 wapigwa risasi mjini Washington, DC Marekani

    Watu 21 wapigwa risasi mjini Washington, DC Marekani

    Aug 10, 2020 03:37

    Watu 21 wamepigwa risasi katika mji mkuu wa Marekani, Washington DC, ambapo hadi sasa mtu mmoja anaripotiwa kupoteza maisha.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS