-
Uungaji mkono wa wazi wa Marekani kwa hatua za uharibifu nchini Lebanon
Aug 10, 2020 01:58Marekani imeshadidisha hatua na mwenendo wake wa uingiliaji masuala ya ndani ya Lebanon kwa shabaha ya kudhoofisha mhimili wa muqawama na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah.
-
Bunge la Iraq kufungua faili la vibaraka za Saudia wenye mfungamano na Marekani
Aug 09, 2020 23:55Mjumbe wa Kamati ya Uhusiano wa Kigeni ya Bunge la Iraq amesema kuwa bunge hilo na jumuiya za wananchi zinafanya jitihada za kufungua faili la vibaraka wa Saudi Arabia wenye mfungamano na Marekani nchini Iraq.
-
Ethiopia yatishia kuvunja uhusiano na Marekani, yasema Washington ndio itayopata hasara
Aug 09, 2020 03:43Ethiopia imetishia kuvunja uhusiano wake wa kidiplomasia na Marekani kufuatia uingiliaji kati wa Washington katika kadhia ya Bwawa la Renaissance la Addis Ababa.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu jinai ya Marekani katika kudondosha bomu la atomiki Hiroshima
Aug 09, 2020 02:44Mwezi Agosti mwaka 1945 Marekani ilishambulia mji wa Hiroshima kwa bomu la nyuklia na kuua watu zaidi ya laki moja; hii ndio hulka ya kibeberu ya jeshi la Marekani, kutokuwa na dini, kutomwamini Mwenyezi Mungu na utovu wa maadili wa Marekani.
-
Hitilafu kali za Ujerumani na Ufaransa dhidi ya Marekani kuhusu marekebisho katika shirika la WHO
Aug 08, 2020 22:48Kushindwa serikali ya Rais Donald Trump kudhibiti maambukizi ya virusi vya COVID-19 nchini Marekani kumemfanya rais huyo ajaribu kuwepa lawama za kufeli huko kwa kulituhumu Shirika la Afya Duniani WHO kuwa lilifeli katika utekelezaji wa majukumu yake.
-
Wataalamu wa UN wataka kuondolewa vikwazo haramu vya Marekani dhidi ya nchi mbalimbali
Aug 08, 2020 09:05Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wametoa wito wa kuondolewa vikwazo vya upande mmoja vya Marekani na nchi za Magharibi dhidi ya nchi mbalimbali hususan katika kipindi hiki cha maambukizi ya virusi vya corona.
-
Ethiopia yalalamikia utendaji wa Marekani kuhusu mazungumzo ya Bwawa la al-Nahdha
Aug 08, 2020 03:45Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Ethiopia imetangaza kuwa, mashinikizo ya Marekani dhidi ya nchi hiyo ili ifanye mazungumzo na Misri na Sudan kuhusiana na Bwawa la al-Nahdha yatakuwa na taathira hasi kwa uhusiano wa Washington na Addis Ababa.
-
Kufeli siasa za Marekani mkabala na Iran; kuendelea kugonga mwamba ndoto za Trump
Aug 08, 2020 03:15Hakuna siku inayopita bila viongozi wa Marekani kutoa misimamo mikali dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, suala ambalo mara nyingi hudhihirisha mgongano wa misimamo yao na kupelekea baadhi ya vyombo vya nchi hiyo ya Magharibi kukiri kuwa hiyo ni ishara ya kushindwa siasa za Washington mkabala na Iran.
-
Dakta Fauci atishiwa kuuawa
Aug 07, 2020 23:54Mkurugenzi wa Taasisi ya Taifa ya Mzio na Magonjwa ya kuambukiza ya Marekani (NIAID) ametangaza kuwa yeye na familia wake wamekuwa wakipokea vitisho vya kuuliwa kutokana matamshi aliyoyatoa kuhusu maambukizi ya virusi vya corona nchini humo.
-
Kujiuzulu Brian Hook; nembo ya kufeli wenzo wa mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran
Aug 07, 2020 08:19Serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ikitumia wenzo wa mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa, iliiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo ambavyo havijawahi kushuhudiwa.