Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Kuunga mkono kurefushwa vikwazo dhidi ya Iran, hatua ya Ulaya ya kutembea kwenye nyayo za Marekani

    Kuunga mkono kurefushwa vikwazo dhidi ya Iran, hatua ya Ulaya ya kutembea kwenye nyayo za Marekani

    Jun 21, 2020 01:45

    Troika ya Ulaya yaani nchi tatu za Ulaya za Uingereza Ujerumani na Ufaransa licha ya kudai zinaunga mkono mkono mapatano ya nyuklia ya JCPOA lakini vitendo vyao vinaiunga mkono Markeani ambayo imejitoa kabisa kwenye makubaliano hayo ya kimataifa. Misimamo ya hivi karibuni ya troika hiyo ya Ulaya imezidi kuonesha jinsi nchi hizo tatu zisivyo na mwamana, sawa kabisa na Marekani.

  • Sanamu la rais wa kwanza wa Marekani nalo lavunjwa katika maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi

    Sanamu la rais wa kwanza wa Marekani nalo lavunjwa katika maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi

    Jun 20, 2020 22:44

    Waandamanaji wanaopinga ubaguzi wa rangi nchini Marekani wamevunja sanamu la rais wa kwanza wa nchi hiyo katika jimbo la Oregon, katika wimbi la kupinga ukatili wa polisi na sera za kibaguzi zinazofanyika kimfumo nchini humo.

  • Kufutwa jina la Marekani katika azimio la kupinga ubaguzi wa rangi la Umoja wa Mataifa

    Kufutwa jina la Marekani katika azimio la kupinga ubaguzi wa rangi la Umoja wa Mataifa

    Jun 20, 2020 22:43

    Wakati maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi uliokita mizizi nchini Marekani yakiendelea kurindima kote duniani na hasira zilizosababishwa na mauaji ya kikatili yaliyofanywa na polisi mzungu dhidi ya Mmarekani mweusi zikiwa bado kali, maafisa wa serikali ya Washington wanafanya jitihada kubwa za kuzima harakati ya kimataifa ya kupinga ubaguzi.

  • Susan Rice: Msingi mkuu wa serikali ya Marekani ni ubaguzi wa rangi

    Susan Rice: Msingi mkuu wa serikali ya Marekani ni ubaguzi wa rangi

    Jun 20, 2020 07:15

    Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Ikulu ya Marekani wa zama za serikali iliyopita ya nchi hiyo amesema, msingi wa serikali ya hivi sasa ya Marekani ni ubaguzi wa rangi na wa kizazi.

  • Baraza la Haki la UN lapasisha azimio la kulaani ubaguzi wa rangi

    Baraza la Haki la UN lapasisha azimio la kulaani ubaguzi wa rangi

    Jun 20, 2020 02:13

    Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la kulaani vikali ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi dhidi ya raia weusi katika nchi mbali mbali duniani.

  • NYT: Trump anamsaka mtu aliyevujisha habari ya kujificha kwake chini ya handaki ya White House

    NYT: Trump anamsaka mtu aliyevujisha habari ya kujificha kwake chini ya handaki ya White House

    Jun 19, 2020 03:47

    Rais Donald Trump wa Marekani anamsaka kwa udi na uvumba mfanyakazi wa White House aliyevujisha habari ya kukimbilia kwake kwenye handaki iliyoko chini ya ardhi ya White House wakati wa kilele cha maandamano makali ya kupinga ubaguzi wa rangi nchini Marekani wiki kadhaa zilizopita.

  • Ndugu zake Floyd waishika miguu UN, waiomba iwasaidie Wamarekani weusi

    Ndugu zake Floyd waishika miguu UN, waiomba iwasaidie Wamarekani weusi

    Jun 18, 2020 22:49

    Nduge zake George Floyd, Mmarekani mweusi aliyeuawa kikatili na polisi mzungu huko Marekani, wameuomba Umoja wa Mataifa kuwasaidia watu weusi wa Marekani na kusikiliza kilio chao.

  • Baraza la Haki za Binaadamu lalaani ubaguzi wa rangi wa kimfumo  nchini Marekani

    Baraza la Haki za Binaadamu lalaani ubaguzi wa rangi wa kimfumo nchini Marekani

    Jun 18, 2020 04:31

    Kikao cha dharura cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kilifanyika Jumatano tarehe 17 Juni kwa lengo la kuchunguza ukiukwaji wa haki za binadamu na ubaguzi wa rangi wa kimfumo nchini Marekani. Kikao hicho kimefanyika katika ofisi za Umoja wa Mataifa mjini Geneva Uswisi.

  • Trump aiomba China imsaidie kushinda uchaguzi mkuu ujao

    Trump aiomba China imsaidie kushinda uchaguzi mkuu ujao

    Jun 18, 2020 04:01

    Mshauri wa zamani wa usalama wa taifa wa Marekani, John Bolton amesema katika kitabu chake kipya kwamba Rais Donald Trump wa nchi hiyo aliiomba China imsaidie katika kushinda uchaguzi mkuu wa rais uliopangwa kufanyika baadaye mwaka huu.

  • Waislamu wa Marekani wapaza sauti kulaani ubaguzi, ukatili wa polisi

    Waislamu wa Marekani wapaza sauti kulaani ubaguzi, ukatili wa polisi

    Jun 16, 2020 03:39

    Mashirika ya Waislamu nchini Marekani yamejiunga na wimbi la malalamiko ya kuishinikiza serikali ya Washington ifanye mageuzi haraka iwezekanavyo kwa ajili ya kuondoa ubaguzi wa rangi wa kimfumo katika muundo wa polisi ya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS