-
Theluthi mbili ya Wamarekani wanaunga mkono maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi
Jul 28, 2020 22:01Katika kila Wamarekani watatu, wawili kati yao wanaunga mkono maandamano yanayoendelea kufanyika katika kila pembe ya nchi hiyo kulalamikia dhulma na uonevu unaofanywa kwa sababu ya asili na rangi ya ngozi ya mtu.
-
Pompeo adai kampuni ya Huawei ya China inakiuka haki za binadamu
Jul 28, 2020 00:13Katika kuendelea prppaganda chafu za Washington dhidi ya Beijing, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani amedai kuwa kampuni kubwa ya China ya Huawei inakiuka haki za binadamu.
-
Kupasisha Marekani msaada wa dola bilioni 38 kwa ajili ya utawala haramu wa Israel
Jul 27, 2020 22:00Jumapili ya tarehe 26 Julai, Kongresi ya Marekani ilipasisha msaada wa kifedha kwa utawala haramu wa Israel wa dola bilioni 38 katika kipindi cha miaka kumi.
-
Hamas yapinga misaada ya kifedha ya Marekani kwa utawala haramu wa Israel
Jul 27, 2020 08:34Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, (HAMAS) imepinga hatua ya Kongresi ya Marekani ya kupasisha bajeti ya msaada wa kifedha kwa ajili ya utawala wa Kizayuni wa Israel na kutangaza kuwa: Hatua hiyo inaimarisha mienendo ya kibabe na ukiukaji wa sheria za kimataifa.
-
Uchunguzi: Familia milioni 26 nchini Marekani zinakabiliwa na njaa
Jul 26, 2020 20:59Matokeo ya uchunguzi mpya uliofanywa nchini Marekani yanaonyesha kuwa, familia milioni 26 nchini humo hazina chakula cha kutosha.
-
CNN: Pompeo ndiye waziri mbaya zaidi wa mambo ya nje katika historia ya Marekani
Jul 26, 2020 01:32Televisheni ya CNN ya Marekani imemtaja Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa nchi hiyo, Mike Pompeo kuwa ndiye waziri mbaya zaidi wa mambo ya nje katika historia ya Marekani.
-
Balozi wa Syria Tehran: Uchokozi wa Marekani dhidi ya ndege ya abiria ya Iran ni ugaidi
Jul 25, 2020 22:11Balozi wa Syria mjini Tehran amesema, uchokozi wa ndege za kivita za Marekani dhidi ya ndege ya abiria ya Iran katika anga ya Syria ni nembo na dhihirisho la ugaidi wa Marekani dhidi ya raia wakiwemo wanawake na watoto.
-
Umoja wa Mataifa wakosoa ukandamizaji unaofanywa dhidi ya waandamanaji nchini Marekani
Jul 25, 2020 22:10Maandamano makubwa na yasiyo na mfano wake ambayo yamekuwa yakifanyika nchini Marekani tokea kuuawa kinyama kwa Mmarekani mweusi George Floyd katika mji wa Minnesota katika jimbo la Minneapolis tarehe 25 Mei, yangali yanaendelea licha ya ukandamizaji mkubwa unaofanywa na serikali ya Trump dhidi ya waandamanaji.
-
Biden: Trump anaweza kujaribu kwa "njia isiyo ya moja kwa moja kuiba" matokeo ya uchaguzi
Jul 25, 2020 02:50Mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democrat ametahadharisha kuwa rais wa nchi hiyo Donald Trump anaweza akatumia njia isiyo ya moja kwa moja kupora na kupindua matokeo ya uchaguzi wa urais utakaofanyika mwezi Novemba.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran yakemea vikali hatua ya ndege zakivita za Marekani ya kuhatarisha usalama wa ndege ya abiria ya Iran
Jul 24, 2020 09:19Msemaji wa Wizara Mambo ya Nchi za Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekemea vikali hatua ya ndege mbili za kijeshi za Marekani ya kutishia usalama wa ndege ya abiria ya Iran katika anga ya Syria na kusema: Habari zaidi kuhusu tukio hilo zinafanyiwa uchunguzi na hatua za dharura za kisiasa na kisheria zitachukuliwa baada ya kukamilika uchunguzi huo.