Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Mkosoaji wa Rais wa Sudan akimbilia Marekani baada ya Rais Kiir kuamuru auawe

    Mkosoaji wa Rais wa Sudan akimbilia Marekani baada ya Rais Kiir kuamuru auawe

    Jul 24, 2020 09:18

    Mchumi mashuhuri na mkubwa wa Sudan Kusini amekimbilia nchini Marekani bakidai kuwa, Rais Salva Kiir alikuwa ametoa amri ya kuuliwa kwake au kutekwa nyara akiwa Nairobi nchini Kenya.

  • Marekani ya Trump; utawala asi na wa kijambazi duniani

    Marekani ya Trump; utawala asi na wa kijambazi duniani

    Jul 23, 2020 22:12

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, baada ya Marekani kujitoa katika makubaliano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) imegeuka kuwa utawala asi na wa kijambazi duniani.

  • Jibu la HAMAS kwa 'ubabe wa kisiasa' wa Marekani unaolenga kuiremba sura chafu ya Israel

    Jibu la HAMAS kwa 'ubabe wa kisiasa' wa Marekani unaolenga kuiremba sura chafu ya Israel

    Jul 23, 2020 05:57

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema, matamshi ya mwakilishi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa dhidi ya harakati hiyo ni "uzandiki, upotoshaji na ubabe wa kisiasa".

  • Inawezekana idadi ya wenye virusi vya corona Marekani ikawa mara 10 zaidi ya takwimu rasmi

    Inawezekana idadi ya wenye virusi vya corona Marekani ikawa mara 10 zaidi ya takwimu rasmi

    Jul 22, 2020 23:46

    Ripoti ya Kituo cha Udhibiti na Kinga ya Maradhi cha Marekani CDC imeeleza kuwa, kuna uwezekano idadi ya watu walioambukizwa virusi vya corona nchini humo ikawa mara 10 zaidi ya takwimu rasmi zinazotolewa na serikali.

  • Wasomi wa Iran kwa wenzao wa Asia Magharibi: Tushauriane kuhakikisha Marekani inaondoka katika eneo

    Wasomi wa Iran kwa wenzao wa Asia Magharibi: Tushauriane kuhakikisha Marekani inaondoka katika eneo

    Jul 22, 2020 23:46

    Maelfu ya wasomi na wenye vipawa nchini Iran kutoka vyuo vikuu vya akademia na vyuo vikuu vya kidini wamewaandikia barua maalumu wanaharakati wa kisiasa na kijamii wa nchi za eneo la Asia Magharibi wakitaka wabadilishane nao mawazo kuhusu njia za kitaalamu zitakazohakikisha Marekani inaondoka katika eneo hili.

  • Ombi la wenyeviti wa kamati za Bunge la Marekani la kuchunguzwa ukandamizaji dhidi ya waandamanaji

    Ombi la wenyeviti wa kamati za Bunge la Marekani la kuchunguzwa ukandamizaji dhidi ya waandamanaji

    Jul 21, 2020 06:12

    Kuendelea maandamano ya upinzani nchini Marekani kwa takribani miezi miwili sasa ya kulalamikia unyama uliofanywa na askari polisi mzungu wa mji wa Minneapolis katika jimbo la Minnesota wa kumuua kikatili raia mweusi George Floyd mnamo tarehe 25 Mei, kumemfanya rais wa nchi hiyo Donald Trump atumie vikosi vya usalama visivyojulikana kwa ajili ya kuwakandamiza waandamanaji.

  • Uchunguzi: Ubaguzi wa rangi unachangia vifo vya watoto na barobaro weusi wa Marekani

    Uchunguzi: Ubaguzi wa rangi unachangia vifo vya watoto na barobaro weusi wa Marekani

    Jul 20, 2020 21:50

    Matokeo ya uchunguzi mpya yameonyesha kuwa, mienendo ya kibaguzi ya madaktari na wauguzi ni miongoni mwa sababu za vifo vya watoto na barobaro weusi nchini Marekani.

  • Sisistizo la Borrell kuhusu kulindwa JCPOA; nara isiyotekelezeka kivitendo

    Sisistizo la Borrell kuhusu kulindwa JCPOA; nara isiyotekelezeka kivitendo

    Jul 20, 2020 02:17

    Umoja wa Ulaya (EU) na Troika ya Ulaya inayoundwa na Ujerumani, Ufaransa na Ujerumani ni pande zilizokuwa na nafasi muhimu katika kufikiwa mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).

  • Uingereza yaionya tena Washington kuhusu kesi ya jasusi wa Marekani

    Uingereza yaionya tena Washington kuhusu kesi ya jasusi wa Marekani

    Jul 19, 2020 19:57

    Kwa mara nyingine Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza ameionya Washington kuhusu kesi ya jasusi wa nchi hiyo ambaye amemuua kijana mmoja raia wa Uingereza na kukimbilia Marekani.

  • Ni bora Marekani ikiri imeshindwa na Iran badala ya kutoa vitisho vya kipuuzi

    Ni bora Marekani ikiri imeshindwa na Iran badala ya kutoa vitisho vya kipuuzi

    Jul 19, 2020 06:34

    Ali Shamkhani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran ametuma ujumbe kupitia Twitter akimhutubu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kwa kusema: "Itakuwa bora iwapo Washington itakiri kushindwa na Iran yenye nguvu badala ya kutoa vitisho vya kipuuzi na visivyoweza kutekelezeka."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS