Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Borell akosoa vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi mbalimbali

    Borell akosoa vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi mbalimbali

    Jul 18, 2020 08:25

    Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya amekosoa vikwazo vinavyowekwa na Marekani dhidi ya nchi nyingine vikiwemo vikwazo vya nchi hiyo dhidi ya mradi wa pili wa ujenzi wa bomba la gesi wa Russia kuelekea Ulaya wa Nord Stream 2.

  • Bolton: Ni baidi Trump kushinda tena katika uchaguzi wa urais 2020

    Bolton: Ni baidi Trump kushinda tena katika uchaguzi wa urais 2020

    Jul 17, 2020 10:13

    Mshauri wa zamani wa usalama wa taifa wa Marekani amesema, ni jambo lililo mbali kwa Donald Trump kushinda tena katika uchaguzi wa rais wa nchi hiyo utakaofanyika mwezi Novemba mwaka huu.

  • Deutsche Welle: Sera za Marekani na nchi za Magharibi nchini Syria zimeshindwa kikamilifu

    Deutsche Welle: Sera za Marekani na nchi za Magharibi nchini Syria zimeshindwa kikamilifu

    Jul 17, 2020 10:12

    Tovuti ya habari ya shirika la habari la Ujerumani Deutsche Welle DW imesisitiza kuwa, sera za Marekani na nchi za Ulaya huko Syria zimegonga mwamba na kushindwa kikamilifu.

  • Wimbi la malalamiko mitandaoni baada ya Google kuiondoa Palestina katika ramani ya dunia

    Wimbi la malalamiko mitandaoni baada ya Google kuiondoa Palestina katika ramani ya dunia

    Jul 17, 2020 03:38

    Shirika la intaneti la Google limejiwa juu na watumiaji wa mitandao mbali mbali ya kijamii baada ya kuiondoa "Palestina" katika ramani zake za dunia, na badala yake kupachika jina la "Israel."

  • Uingiliaji wa kifidhuli wa Donald Trump katika masuala ya ndani ya Iran

    Uingiliaji wa kifidhuli wa Donald Trump katika masuala ya ndani ya Iran

    Jul 16, 2020 22:10

    Tangu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yalipopata ushindi mwaka 1979 kwa uongozi wa Imam Ruhullah Khomeini Marekani daima imekuwa na utendaji hasi na wa kihasama dhidi ya taifa hili la Kiislamu.

  • Mary Trump: Rais Trump ni mtu hatari, anapaswa kujiuzulu

    Mary Trump: Rais Trump ni mtu hatari, anapaswa kujiuzulu

    Jul 16, 2020 03:06

    Mpwa wa Donald Trump amesema rais huyo wa Marekani ni mtu hatari ambaye anapaswa kujiuzulu wadhifa wake wa urais mara moja.

  • Trump aghairi uamuzi wake dhidi ya wanafunzi wa kigeni baada ya kuzidiwa na mashinikizo

    Trump aghairi uamuzi wake dhidi ya wanafunzi wa kigeni baada ya kuzidiwa na mashinikizo

    Jul 15, 2020 03:12

    Rais Donald Trump wa Marekani ameghairi uamuzi wake wa kufuta viza za wanafunzi wa kigeni katika vyuo vikuu vya Marekani baada ya kukabiliwa na mashinikizo makubwa.

  • UN yakosoa athari mbaya za misimamo hasi ya Trump kwa uhuru wa vyombo vya habari

    UN yakosoa athari mbaya za misimamo hasi ya Trump kwa uhuru wa vyombo vya habari

    Jul 15, 2020 01:48

    Tangu alipochukua hatamu za kuiongoza Marekani tarehe 20 Januari mwaka 2017, Rais Donald Trump amekua akielekeza panga lake kali kwenye vyombo vya habari vinavyokosoa utendaji na mienendo yake.

  • Rais Rouhani: Iran itaibuka mshindi katika vita vya kiuchumi vya Marekani

    Rais Rouhani: Iran itaibuka mshindi katika vita vya kiuchumi vya Marekani

    Jul 13, 2020 22:49

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ushirikiano na mshikamano uliopo miongoni mwa mihimili mitatu ya dola, bila shaka utaipelekea Iran kuibuka mshindi katika vita vya kiuchumi vya Marekani dhidi ya taifa hili.

  • Kuporomoka husiano wa Marekani na Russia

    Kuporomoka husiano wa Marekani na Russia

    Jul 13, 2020 22:10

    Uhusiano wa Marekani na Russsia umekuwa na panda shuka nyingi katika kipindi cha baada ya Vita Baridi. Hata hivyo baada ya kujitokeza mgogoro wa Ukraine hapo mwaka 2014 uhusiano wa Moscow na Washington uliingia katika mporomoko mkubwa na sasa hitilafu kati ya pande hizo mbili zimepanuka zaidi na zaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS