-
Kuporomoka husiano wa Marekani na Russia
Jul 13, 2020 22:10Uhusiano wa Marekani na Russsia umekuwa na panda shuka nyingi katika kipindi cha baada ya Vita Baridi. Hata hivyo baada ya kujitokeza mgogoro wa Ukraine hapo mwaka 2014 uhusiano wa Moscow na Washington uliingia katika mporomoko mkubwa na sasa hitilafu kati ya pande hizo mbili zimepanuka zaidi na zaidi.
-
UN yatahadharisha kuhusu athari mbaya za mauaji ya kigaidi ya Qassem Soleimani
Jul 13, 2020 22:03Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia mauaji ya kiholela na kinyume cha sheria ametahadharisha kuhusiana na athari mbaya za ugaidi unaofanywa na Marekani duniani hususan mauaji yaliyofanywa na nchi hiyo dhidi ya aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi al Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran, Luteni Jenerali Qassem Soleimani.
-
Mrengo wa al-Fat'h Iraq: Serikali iharakishe mashtaka dhidi ya Marekani UN kwa mauaji ya Al-Muhandis
Jul 12, 2020 23:37Muungano wa al-Fat'h katika Bunge la Iraq umeitaka serikali iharakishe mchakato wa kuwasilisha rasmi mashtaka Umoja wa Mataifa ya jinai iliyofanywa na Marekani ya kumuua kigaidi Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa al-Hashdu-Sha'abi.
-
Hizbullah: Marekani inabeba dhima ya matatizo yote ya Asia Magharibi
Jul 12, 2020 03:19Mkuu wa Baraza la Shuraa la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema Marekani ndiyo sababu ya kupata matatizo nchi za eneo hili la Asia Magharibi.
-
Msafara wa kijeshi wa Marekani washambuliwa kwa mabomu Iraq
Jul 12, 2020 03:08Msafara wa magari ya kijeshi ya Marekani umeshambuliwa kwa mabomu ya kuelekezwa kutoka mbali (VBIED) baina ya barabara ya Samawah na Diwaniyah, kusini mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
Kundi jingine la wafuasi wa chama tawala cha Republican lamuacha mkono Trump Marekani
Jul 11, 2020 22:04Kundi jingine la wanachama wa chama tawala cha Republican wametangaza kuacha kumuunga mkono rais wa nchi hiyo, Donald Trump.
-
Wasomi, wanachuo wa Kenya nchini Marekani wakosoa agizo la Trump dhidi yao
Jul 11, 2020 10:18Wahadhiri na wanachuo raia wa Kenya walioko Marekani wamekosoa vikali agizo lililotolewa na rais wa nchi hiyo, Donald Trump, la kutaka wanafunzi wote wa kigeni waondoke nchini humo ndani ya miezi miwili ijayo.
-
Russia: Marekani inakabiliwa na mzozo mkubwa wa kisiasa
Jul 11, 2020 09:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema mivutano na mizozo ya kisiasa ya ndani ya nchi ndiyo sababu kuu iliyoipelekea Marekani iibue madai yasiyo na msingi dhidi ya Moscow.
-
Iran: Mauaji ya Soleimani ni mfano wa wazi wa ugaidi wa kiserikali
Jul 11, 2020 06:39Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu katika Umoja wa Mataifa amesema mauaji ya kigaidi yaliyofanywa na jeshi la Marekani dhidi ya aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), Luteni Jenerali Qassem Soleimani akiwa ugenini nchini Iraq ni mfano wa wazi wa ugaidi wa kiserikali.
-
Sisitizo la Russia la kugonga mwamba Marekani katika mwendelezo wake wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
Jul 11, 2020 03:06Marekani imeanzisha vita vikubwa vya kuzuia kuondolewa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran, ambavyo kwa mujibu wa azimio nambri 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa inapasa vifikie kikomo ifikapo Oktoba 18, 2020; na ili kufikia lengo hilo imewasilisha rasimu ya azimio kwa nchi wanachama wa baraza hilo. Hata hivyo kwa Russia inaamini kuwa hatua hizo za Marekani zitagonga mwamba.