Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Mauaji ya kigaidi ya Soleimani, ugaidi wa kiserikali wa Marekani na hatari dhidi ya usalama wa kimataifa

    Mauaji ya kigaidi ya Soleimani, ugaidi wa kiserikali wa Marekani na hatari dhidi ya usalama wa kimataifa

    Jul 10, 2020 06:29

    Mauaji ya kigaidi yaliyofanywa na jeshi la Marekani dhidi ya aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu akiwa ugenini nchini Iraq ni kielelezo cha wazi cha ukiukaji wa sheria za kimataifa na ugaidi wa kiserikali wa Marekani.

  • Iran: Kusema urongo na kueneza chuki ni katika sera za nje za Marekani

    Iran: Kusema urongo na kueneza chuki ni katika sera za nje za Marekani

    Jul 09, 2020 11:01

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekanusha vikali tuhuma kuwa Jamhuri ya Kiislamu imekiuka vikwazo vya silaha vya Umoja wa Mataifa na kusisitiza kuwa, Marekani inasema urongo.

  • Rouhani: Umoja na kujituma, ufunguo wa kusimama kidete dhidi ya maadui

    Rouhani: Umoja na kujituma, ufunguo wa kusimama kidete dhidi ya maadui

    Jul 09, 2020 11:00

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema umoja na jitihada ni mambo mawili ambayo yamefanikisha muqawama wa taifa hili dhidi ya maadui.

  • Kujiondoa rasmi Marekani katika Shirika la Afya Duniani WHO

    Kujiondoa rasmi Marekani katika Shirika la Afya Duniani WHO

    Jul 09, 2020 04:51

    Msimamo wa serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ni kupuuza, kukosoa, kutoa vitisho na hatimaye kujitoa katika mashirika ya kimataifa na hasa yale yanayopinga matakwa na maslahi haramu ya nchi hiyo na ya washirika wake na hasa utawala haramu wa Israel.

  • Sisitizo la Russia juu ya mchango wa Marekani katika magendo ya madawa ya kulevya nchini Afghanistan

    Sisitizo la Russia juu ya mchango wa Marekani katika magendo ya madawa ya kulevya nchini Afghanistan

    Jul 07, 2020 23:49

    Mwaka 2001 Marekani iliishambulia kijeshi Afghanistan kwa kisingizio cha mashambulio ya Septemba 11 na ikaikalia kwa mabavu nchi hiyo.

  • Syria yawakamata magaidi wanaofungamana na Marekani

    Syria yawakamata magaidi wanaofungamana na Marekani

    Jul 07, 2020 22:33

    Jeshi la Syria limetangaza kutekeleza oparesheni ambayo imepelekea kukamatwa wanachama wa kundi la kigaidi ambalo linafungamana na Marekani mashariki mwa nchi hiyo.

  • Jumatano tarehe 8 Julai mwaka 2020

    Jumatano tarehe 8 Julai mwaka 2020

    Jul 07, 2020 22:19

    Leo ni Jumatano tarehe 16 Dhulqaada 1441 Hijria sawa na Julai 8 mwaka 2020.

  • Baraza la Congress la Marekani lapasisha bajeti ya kulinda usalama wa Israel

    Baraza la Congress la Marekani lapasisha bajeti ya kulinda usalama wa Israel

    Jul 07, 2020 06:30

    Baraza la Wawakilishi la Marekani limepasisha bajeti ya kulinda usalama wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Iraq yalaani Marekani kwa kufanyia jaribio kombora ndani ya ubalozi wake Baghdad

    Iraq yalaani Marekani kwa kufanyia jaribio kombora ndani ya ubalozi wake Baghdad

    Jul 05, 2020 02:04

    Serikali ya Iraq imeilaani Marekani kwa kufanyia majaribio mfumo wa makombora ya kujihami angani ndani ya ubalozi wake mjini Baghdad.

  • Maandamano ya kupinga ubaguzi Washington yabadilika na kuwa maandamano dhidi ya Israel

    Maandamano ya kupinga ubaguzi Washington yabadilika na kuwa maandamano dhidi ya Israel

    Jul 03, 2020 22:37

    Maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi yanayofanywa na wanachi wa Marekani katika mji mkuu wa nchi hiyo, Washington jana yalibadilika na kuwa maandamano dhidi ya utawala ghasibu wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS