-
Mgogoro mkubwa Marekani; waliokufa kwa corona wapindukia laki moja
May 28, 2020 01:36Licha ya rais wa Marekani, Donald Trump kujigamba kuwa ameudhibiti ugonjwa wa COVID-19, lakini corona inaendelea kuchukua roho nyingi za Wamarekani kiasi kwamba hivi sasa zaidi ya watu laki moja wameshapoteza maisha yao kwa ugonjwa huo nchini humo.
-
Rais Rouhani aihutubu Marekani: Biashara yetu na Venezuela haiwahusu
May 27, 2020 21:53Rais Hassan Rouhani wa Iran ameikosoa vikali Marekani kwa kujaribu kuingilia miamala ya kibiashara baina ya Jamhuri ya Kiislamu na nchi nyingine huru duniani.
-
Iraq: Hatuna haja na wageni katika kupambana na magaidi wa ISIS
May 27, 2020 21:53Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Iraq amesema, nchi yake ina uwezo wa kutosha wa kupambana na kuwamaliza magaidi wa Daesh (ISIS) hivyo haina haja na msaada wa wanajeshi kutoka nje.
-
Iran yalaani ukatili wa polisi wa Marekani kwa kumuua raia mweusi + Video
May 27, 2020 11:36Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali ukatili wa polisi ya Marekani uliopelekea kupoteza maisha raia mwengine mwenye asili ya Afrika.
-
Russia yakanusha madai ya US ya kutuma ndege za kivita Libya
May 27, 2020 11:21Russia imekadhibisha na kutaja kama upotoshaji madai ya Marekani kwamba Mosow imetuma ndege za kijeshi nchini Libya kwenda kuwasaidia wapiganaji wa Khalifa Haftar.
-
Tanzania yamuita Kaimu Balozi wa Marekani ajieleze kuhusu taarifa za corona
May 27, 2020 03:34Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ya Tanzania imemuita Kaimu Balozi wa Marekani nchini humo, Dakta Imni Patterson atoe ufafanuzi kuhusu taarifa ambazo amekuwa akiziandika kwenye mitandao yake ya kijamii bila uthibitisho.
-
Trump akosolewa na "Twitter" kwa kupotosha juu ya uchaguzi
May 27, 2020 03:27Shirika la Twitter limemkosoa Rais Donald Trump wa Marekani kwa kuchapisha katika mtandao huo wa kijamii taarifa za kupotosha kuhusu uchaguzi mkuu ujao wa nchi hiyo.
-
Marekani yaitaka tena Korea Kaskazini ifumbie macho silaha za nyuklia
May 27, 2020 00:37Kwa mara nyingine Robert O'Brien, Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani ameitaka Korea Kaskazini ifumbie macho silaha za nyuklia kwa kile alichokiita kuwa ni kupewa fursa za kiuchumi.
-
Joseph Borrell akiri kumalizika zama za uongozi wa Marekani duniani
May 26, 2020 23:28Kuingia madarakani Rais Donald Trump wa Marekani huko White House mnamo tarehe 20 Januari 2017 kulifungua ukurasa mpya wa siasa za upande mmoja za nchi hiyo duniani.
-
Russia: Wapinzani wa JCPOA wanakusudia kudunisha ushirikiano wa Iran na IAEA
May 25, 2020 21:56Mwakilishi wa kudumu wa Russia katika mashirika ya kimataifa yenye makao yao mjini Vienna nchini Austria amesema wapinzani wa makubaliano ya nyuklia yaliyosainiwa baina ya Iran na madola makubwa duniani mwaka 2015 wanalenga kudunisha na kudhalilisha muamana na ushirikiano baina ya Tehran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).