-
Sisitizo la Venezeula kuhusu kutokuwa na maana vitisho vya Marekani dhidi ya meli za mafuta za Iran
May 25, 2020 06:01Wakati wa utawla wa rais Donald Trump wa Marekani, sera za mashinikizo ya pande zote dhidiya Venezeula zimeongezeka kwa kuwekewe vikwazo vingi nchi hiyo lengo likiwa ni kuipindua serikali ya Rais Nicolas Maduro na kumleta madarakani kinara wa wapinzani Juan Guaid ambaye ni kibaraka wa Washington.
-
Corona na maandamano dhidi ya Trump katika jimbo la Virginia
May 25, 2020 02:38Wakazi wa jimbo la Virginia nchini Marekani wamefanya maandamano mbele ya kilabu ya Trump katika jimbo hilo, wakilalamikia uongozi wake mbovu katika mapambano dhidi ya virusi vya Corona.
-
Ansarullah yafichua nafasi ya Israel na US katika mashambulizi dhidi ya Yemen
May 24, 2020 05:12Katibu Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya Ansarullah ya nchini Yemen amesema Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel ni washirika wa muungano vamizi wa kijeshi unaofanya mashambulizi dhidi ya wananchi wa Yemen.
-
Onyo la Russia kuhusu madhara ya hatua za Wazayuni dhidi ya Palestina
May 24, 2020 02:39Hatua zilizo kinyume cha sheria na zisizo za kibinadamu za Israel dhidi ya wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina zimepamba moto sana katika miaka ya hivi karibuni. Mbali na kuwaua Wapalestina hasa katika Ukanda wa Ghaza, utawala wa Kizayuni umeongeza sana kasi ya kupora ardhi za Wapalestina na kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni.
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran; jitihada zisizo na tija za utawala wa Trump
May 23, 2020 02:45Baada ya kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran mnamo Mei 2018, serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani imekuwa ikitekeleza mashinikizo ya juu kabisa kwa kuiwekea Iran vikwazo shadidi zaidi kuwahi kushuhudiwa katika historia. Pamoja na kuwa vikwazo hivyo havijaweza kufanikiwa, Marekani inasisitiza kuendelea na sera yake hiyo ya vikwazo.
-
UN yakanusha madai ya US kwamba inatumia corona kuhamasisha uaviaji mimba
May 22, 2020 03:27Umoja wa Mataifa umekanusha vikali madai ya Marekani kuwa taasisi hiyo ya kimataifa inatumia janga la corona kuhamasisha uaviaji mimba duniani.
-
Russia na Venezuela zakosoa hatua zisizo za kisheria za Marekani
May 22, 2020 02:00Tangu Rais Donald Trump mwenye kashfa nyingi wa Marekani aingie ikulu ya White House ameshadidisha siasa za uhasama dhidi ya Venezuela ambapo pia amefanya njama nyingi za kuiondoa madarakani serikali halali ya Rais Nicolás Maduro wa nchi hiyo sambamba na kuiwekea vikwazo vikali.
-
Trump na Nancy Pelosi washambuliana vikali kwa maneno
May 21, 2020 22:13Kwa mara nyingine Rais Doanald Trump wa Marekani ameshambuliana vikali kwa maneno na Nancy Pelosi, Spika la Bunge la Wawakilishi la nchi hiyo.
-
Iran: Mpango wa "Muamala wa Karne" ni ishara ya wazi ya utapeli wa Marekani
May 21, 2020 01:29Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa, mpango wa Marekani-Israel wa 'Muamala wa Karne" ni ishara ya wazi ya hila na utapeli wa Wamarekani.
-
Indhari ya Josep Borrell kwa Israel kuhusu kuendelea kuzikalia kwa mabavu ardhi za Palestina
May 19, 2020 22:39Katika fremu ya malengo yake ya muda mrefu, utawala haramu wa Israel unakusudia kupora sehemu kubwa ya ardhi za Palestina za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuziunganisha na ardhi nyingine za Palestina unazozikali kwa mabavu.