Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Madaktari wa Marekani waonya: Pendekezo la Trump la kudunga vitakasaji mwilini kutibu COVID-19 ni hatari sana

    Madaktari wa Marekani waonya: Pendekezo la Trump la kudunga vitakasaji mwilini kutibu COVID-19 ni hatari sana

    Apr 24, 2020 10:39

    Madaktari nchini Marekani wamekosoa vikali njia zilizopendekezwa na rais wa nchi hiyo Donald Trump kwa ajili ya kutibu ugonjwa wa homa kali ya mapafu wa COVID-19.

  • Zarif: Marekani na Ulaya haziwezi kuipa mawaidha Iran kuhusu azimio la Baraza la Usalama la UN

    Zarif: Marekani na Ulaya haziwezi kuipa mawaidha Iran kuhusu azimio la Baraza la Usalama la UN

    Apr 24, 2020 10:33

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Marekani na Ulaya haziwezi kuipa mawaidha Iran kwa kutumia tafsiri ghalati na isiyo na msingi kuhusu utekelezaji wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Los Angeles Times: Wakati umefika kwa majimbo ya Marekani kujitangazia uhuru wao

    Los Angeles Times: Wakati umefika kwa majimbo ya Marekani kujitangazia uhuru wao

    Apr 24, 2020 02:39

    Gazeti la Los Angeles Times la nchini Marekani limeandika kuwa, janga la corona nchini humo limeonesha kuwa wakati umefika kwa kila jimbo la Marekani kujitenga na kujitangazia uhuru wake.

  • Iran: Tuko tayari kuwasaidia wananchi wa Marekani wanaoteseka kwa corona

    Iran: Tuko tayari kuwasaidia wananchi wa Marekani wanaoteseka kwa corona

    Apr 24, 2020 02:39

    Waziri wa Afya wa Iran amejibu maneno ya kijuba ya waziri wa afya wa Marekani aliyedai kuwa nchi yake iko tayari kuisaidia Iran kupambana na corona akisisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeonesha kivitendo uwezo wake mkubwa wa kakabiliana na matatizo kama haya ya corona na kuongeza kuwa, Tehran iko tayari kuwasaidia wananchi wa Marekani wanaoteseka kwa maradhi ya COVID-19 hivi sasa kutokana na uzembe wa serikali yao.

  • Iran yalaani chokochoko za Marekani Ghuba ya Uajemi, yamuita balozi wa Uswisi

    Iran yalaani chokochoko za Marekani Ghuba ya Uajemi, yamuita balozi wa Uswisi

    Apr 23, 2020 22:15

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali chokochoko za jeshi la Marekani dhidi ya wanajeshi wa baharini wa Iran katika Ghuba ya Uajemi, sambamba na kukosoa bwabwaja na vitisho vya Rais Donald Trump dhidi ya askari hao wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH).

  • China yaipa WHO dola milioni 50 baada ya US kulikatia misaada shirika hilo la UN

    China yaipa WHO dola milioni 50 baada ya US kulikatia misaada shirika hilo la UN

    Apr 23, 2020 22:02

    China imeliongeza Shirika la Afya Duniani (WHO) msaada wa dola milioni 30 za Marekani za kudhibiti mlipuko wa maambukizi ya virusi vya Corona duniani, siku chache baada ya Marekani kuikatia misaada taasisi hiyo ya Umoja wa Mataifa.

  • Meli 26 za kivita za Marekani zakumbwa na virusi vya Corona

    Meli 26 za kivita za Marekani zakumbwa na virusi vya Corona

    Apr 23, 2020 03:05

    Afisa mmoja wa kijeshi nchini Marekani amesema kuwa meli 26 za kivita za nchi hiyo zimekumbwa na virusi vya Corona.

  • Mgogoro wa Venezuela: Serikali na wapinzani waanza mazungumzo ya siri

    Mgogoro wa Venezuela: Serikali na wapinzani waanza mazungumzo ya siri

    Apr 22, 2020 22:14

    Serikali ya Venezuela na wapinzani wa nchi hiyo wameanza duru mpya ya mazungumzo ya siri yenye lengo la kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.

  • Trump akiri Marekani inatumia gharama kubwa isiyo na faida yoyote Asia Magharibi

    Trump akiri Marekani inatumia gharama kubwa isiyo na faida yoyote Asia Magharibi

    Apr 22, 2020 22:13

    Baada ya mashambulizi ya Septemba 11, 2001 Marekani kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi, ilielekeza majeshi yake katika eneo la Asia Magharibi.

  • Marekani yaelemewa na janga la Corona, yapewa msaada na Misri

    Marekani yaelemewa na janga la Corona, yapewa msaada na Misri

    Apr 22, 2020 08:23

    Misri imetuma nchini Marekani ndege iliyosheheni vifaa na zana za kitiba za kukabiliana na virusi vya Corona, wakati huu ambapo nchi hiyo inayotajwa kuwa dola kubwa na lenye uwezo zaidi duniani linaendelea kulemewa na janga ugonjwa wa Covid-19.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS