-
Rais Rouhani: Inapasa nchi zote zitangaze misimamo yao kuhusu hatua za kiuadui za Marekani
Apr 21, 2020 22:44Rais Hassan Rouhani amesema: Katika mazingira maalumu ya hivi sasa yanayotokana na kuenea virusi vya corona duniani, nchi zote zinapaswa kuwa bega kwa bega katika kupambana na kirusi hicho angamizi na kutangaza kwa uwazi kabisa misimamo yao kuhusiana na hatua za kiuadui za Marekani.
-
Marekani ndiyo ilipanga mashambulizi ya hivi karibuni ya Daesh nchini Iraq
Apr 21, 2020 07:17Mjumbe wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa katika Bunge la Iraq amesema kuwa Wamarekani ndio waliopanga mashambulizi ya hivi karibuni ya magaidi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) nchini humo.
-
Wakazi wa New York walalamikia utendaji kazi mbaya wa WHO
Apr 21, 2020 06:44Wakazi wa mji wa New York nchini Marekani wamelalamikia utendaji kazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusu namna lilivyoamiliana na suala zima la kuenea virusi vya Corona.
-
Mawaziri wa Afya wa G20 wakiri: Mfumo wa afya duniani ni dhaifu, wajadili njia za kuuimarisha
Apr 21, 2020 01:39Mawaziri wa Afya wa nchi wanachama katika G20 walioshiriki kwenye mkutano uliofanyika kwa njia ya video wamechunguza athari mbaya za mlipuko wa virusi vya corona na kukiri kwamba, mfumo wa afya duniani ni dhaifu na kwamba mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona umeweka wazi uhakika huo.
-
Viongozi wa kidini nchini Iraq wasisitizia kuainishwa muda wa kuondoka askari wa kigeni nchini humo
Apr 20, 2020 22:26Mkuu wa Mrengo wa Badr katika Bunge la Iraq amesema kuwa maraajii wa kidini wa nchi hiyo wanasisitiza suala la kuainishwa muda wa kuondoka vikosi vya askari wa kigeni nchini humo.
-
Ombi la Trump kwa UN la kurefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Iran kinyume na JCPOA
Apr 20, 2020 01:34Kwa mujibu wa mapatano ya nyuklia ya JCPOA yenye baraka kamili za Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, vikwazo vya kidhulma vya silaha ilivyowekewa Iran, vinapaswa viondolewe kikamilifu tarehe 18 Oktoba mwaka huu wa 2020.
-
Wamarekani waliopoteza ajira na kuishiwa na fedha kwa corona wamiminika kwenye vituo vya ugawaji chakula
Apr 19, 2020 22:09Raia wa Marekani wasio na ajira na walioishiwa na fedha wamevamia vituo vinavyotoa milo ya bure ya chakula kwa watu wahitaji.
-
Iran: Uropokaji mpya wa Marekani unakusudia kuipotosha dunia
Apr 19, 2020 03:22Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Marekani imeazimia kuupotosha ulimwengu, ili usishughulishwe tena na ugaidi wa kiuchumi wa taifa hilo la kibeberu dhidi ya Iran.
-
Wamarekani waandamana baada ya kuchoshwa na kukaa majumbani
Apr 19, 2020 03:17Mamia ya wananchi wa Marekani wamefanya maandamano katika miji na majimbo kadhaa kushinikiza kuondolewa kwa agizo la kuwataka wasalie majumbani mwao, kama njia ya kudhibiti maambukizi ya virusi vya Corona.
-
Mtaalamu wa Ufaransa alipua bomu, adai virusi vya corona vilitokana na jaribio la kutengeneza chanjo ya Ukimwi
Apr 18, 2020 22:07Mtazamo wa Profesa Luc Antoine Montagnier wa Ufaransa ambaye ni mmoja kati ya wavumbuzi wa virusi vya Ukimwi anayesema virusi vya corona vimetokana na makosa yaliyotokea kwenye maabara, umezusha mjadala mkubwa katika duru za wanasayansi.