-
Iran yaionya Marekani kwa kutoa madai 'hatari' dhidi yake
Mar 13, 2020 09:22Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani inapaswa kuangali upya uwepo wa vikosi vyake vamizi katika eneo la Asia Magharibi badala ya kuibua tuhuma zisizo na msingi wowote dhidi ya mataifa mengine.
-
Mashambulizi ya Marekani na ukiukaji mpya wa Washington wa haki ya kujitawala taifa la Iraq
Mar 13, 2020 07:20Marekani inaendelea kupuuza amri ya Bunge la iraq ya kuondoa wanajeshi wake nchini humo, bali inaendelea kufanya mashambulizi ya kivamizi katika maeneo mbalimbali ya Iraq ikiwa ni kuendelea kukanyaga waziwazi haki ya kujitawala taifa hilo la Kiarabu.
-
Ripoti ya kila mwaka ya haki za binadamu ya Marekani; madai ya mkiukaji mkubwa zaidi wa haki za binadamu ulimwenguni
Mar 13, 2020 02:33Ripoti ya mwaka 2019 ya Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani kuhusiana na haki za binadamu ilitolewa Jumatano iliyopita ya tarehe 11 Machi.
-
Marekani yatangaza hali ya hatari mjini Washington kutokana na wimbi la virusi vya corona
Mar 12, 2020 04:43Meya wa Washington DC, Muriel Bowser huko Marekani usiku wa kuamkia leo ametangaza hali ya hatari katika mji huo baada ya kuenea wimbi la maambukizi ya virusi hatari vya corona.
-
Shambulio la anga la Marekani laua watu 6 nchini Somalia
Mar 12, 2020 04:28Watu sita wasio na hatia wameuawa nchini Somalia baada ya basi lao kushambuliwa na ndege zisizo na rubani (drone) za Marekani katika nchi hiyo ya Pembe ya Afrika iliyoathiriwa vibaya na vita.
-
CDC: Homa ya mafua imeua watu 20,000 wakiwemo watoto 136 nchini Marekani
Mar 10, 2020 04:50Huku virusi vya Corona vikiendelea kusambaa kwa kasi nchini Marekani, Vituo vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa nchini humo (CDC) vimesema Wamarekani 20,000 wakiwemo watoto wadogo 136 wameaga dunia kufikia sasa msimu huu kutokana na homa ya mafua.
-
Saudia yaendelea kushikilia rekodi ya kuwa mnunuzi mkuu wa silaha duniani
Mar 10, 2020 04:45Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) imetangaza kuwa, Saudi Arabia ndiyo nchi inayoongoza kwa ununuaji silaha duniani katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.
-
Taleban: Madai kwamba tunakusudia kuvunja makubaliano si ya kweli
Mar 08, 2020 08:24Msemaji wa Ofisi ya Kisiasa ya Kundi la Taleban ametupilia mbali ripoti za vyombo vya habari kwamba kundi hilo linakusudia kutofungamana na makubaliano yake na Marekani.
-
Kuendelea kuenea virusi vya Corona nchini Marekani na upuuzaji wa Trump
Mar 08, 2020 04:57Licha ya kuenea kwa kasi virusi vya Corona nchini Marekani, lakini Rais Donald Trump wa nchi hiyo amedai kuwa hana wasiwasi wowote kuhusiana na suala hilo.
-
Ethiopia: Ubovu wa ndege ya Boeing ya US ndiyo sababu ya ajali ya 2019
Mar 07, 2020 23:14Rasimu ya ripoti ya muda ya wachunguzi wa Ethiopia imesema ajali mbaya ya ndege ya Boeing Max 737 iliyotokea tarehe 10 mwezi Machi mwaka jana 2019 na kuua watu 157 ilisababishwa na na matatizo ya kiufundi na ubovu wa ndege hiyo ya Kimarekani.