Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Afisa wa zamani wa CIA: Virusi vya Corona vilizalishwa kwenye maabara

    Afisa wa zamani wa CIA: Virusi vya Corona vilizalishwa kwenye maabara

    Mar 07, 2020 23:14

    Afisa wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA amesema virusi hatari vya Corona ambavyo vimeshaua maelfu ya watu kote duniani vilizalishwa kwenye maabara na wala havikuanza tu peke yake.

  • Amir-Abdollahian: Marekani inazuia vifaa vya kukabiliana na Corona kuingizwa Iran

    Amir-Abdollahian: Marekani inazuia vifaa vya kukabiliana na Corona kuingizwa Iran

    Mar 07, 2020 08:58

    Msaidizi Maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika Masuala ya Kimataifa amesema kuwa Wizara ya Fedha ya Marekani inazuia vifaa vya tiba vilivyonunuliwa na Iran kuletwa hapa nchini kwa ajili ya kutibu wagonjwa waliopatwa na virusi vya Corona.

  • ICC yaafiki uchunguzi kuhusu jinai za kivita za Marekani nchini Afghanistan

    ICC yaafiki uchunguzi kuhusu jinai za kivita za Marekani nchini Afghanistan

    Mar 06, 2020 08:03

    Oktoba mwaka 2001, kwa kisingizio cha hujuma za Sepemba 11 mwaka huo, Marekani ilianzisha uvamizi dhidi ya Afghanistan. Tokea wakati huo hadi sasa Marekani imeendelea kuikalia kwa mabavu Afghanistan na askari wake wametekeleza jinai dhidi ya raia wa nchi hiyo ikiwa ni pamoja na kuua raia wasio na hatia.

  • Mwakilishi wa WHO aipongeza Iran kwa mapambano yake dhidi ya Corona

    Mwakilishi wa WHO aipongeza Iran kwa mapambano yake dhidi ya Corona

    Mar 06, 2020 04:53

    Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ambaye ameitembelea Iran hivi karibuni amepongeza juhudi kubwa za vyombo na taasisi za afya hapa nchini katika kupambana na virusi vya Corona.

  • Jumanne Kuu na mustakbali wa uchaguzi wa Wademocrat nchini Marekani

    Jumanne Kuu na mustakbali wa uchaguzi wa Wademocrat nchini Marekani

    Mar 05, 2020 08:36

    Siku muhimu zaidi katika kalenda ya uchaguzi wa mchujo wa urais wa Marekani ambayo imepewa jina la Jumanne Kuu katika kambi ya chama cha Democrats imemalizika kwa ushindi wa Joe Biden ambaye inaonekana ndiye atakayekabidhiwa bendera ya chama hiyo kwa ajili ya kupambana na Donald Trump katika uchaguzi wa mwishoni mwa mwaka huu wa 2020.

  • ICC yaamuru uchunguzi kuhusu jinai za kivita za Marekani nchini Afghanistan

    ICC yaamuru uchunguzi kuhusu jinai za kivita za Marekani nchini Afghanistan

    Mar 05, 2020 08:24

    Majaji waandamizi katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wameamuru uchunguzi uanze kuhusu jinai za kivita na jinai dhidi ya binadamu ambazo zinaripotiwa kufanywa na askari wa Marekani nchini Afghanistan.

  • Makundi ya muqawama Palestina yasisitiza kupambana na siasa haribifu za Marekani

    Makundi ya muqawama Palestina yasisitiza kupambana na siasa haribifu za Marekani

    Mar 04, 2020 08:24

    Makundi ya Muqawama huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu yamesisitiza juu ya kukabiliana na siasa haribifu za Marekani dhidi ya wananchi wa Palestina pamoja na njama za Kizayuni-Kimarekani kupitia mpango wa kibaguzi wa Muamala wa Karne.

  • CNN yakiri kwamba Iran inafanya juhudi kubwa kuvishinda virusi vya Corona

    CNN yakiri kwamba Iran inafanya juhudi kubwa kuvishinda virusi vya Corona

    Mar 03, 2020 08:00

    Kanali ya televisheni ya CNN ya nchini Marekani imekiri kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, inafanya juhudi kubwa kuvishinda virusi hatari vya Corona.

  • Senegal na Saudia zaripoti kesi za kwanza za Corona, waliofariki Marekani wafika 6

    Senegal na Saudia zaripoti kesi za kwanza za Corona, waliofariki Marekani wafika 6

    Mar 03, 2020 04:00

    Saudi Arabia, Jordan na Tunisia ni nchi za hivi punde katika ulimwengu wa Kiarabu kuripoti kesi za kwanza za virusi vya Corona ambavyo vimeshaua watu zaidi ya elfu tatu kote duniani, hususan nchini China.

  • Pakistan: Hatuhitaji uingiliaji kati wa Marekani kutatua masuala yetu na Afghanistan

    Pakistan: Hatuhitaji uingiliaji kati wa Marekani kutatua masuala yetu na Afghanistan

    Mar 02, 2020 03:28

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan Shah Mahmood Qureshi amesema, hauhitajiki uingiliaji kati wa Marekani kwa ajili ya kutatuliwa masuala ya pande mbili kati ya nchi yake na Afghanistan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS