-
Idadi ya wahanga wa corona huko New York ni zaidi ya wale wa mashambulio ya Septemba 11
Apr 08, 2020 03:25Idadi ya watu walioaga dunia kwa maambukizi ya virusi vya corona katika mji wa New York nchini Marekani ni zaidi ya wale waliofariki dunia katika mashambulizi ya Septemba 11 katika kituo cha kimataifa cha biashara mjini humo.
-
Raia weusi wanaathiriwa kwa wingi na corona Marekani huku UN ikionya kuhusu ubaguzi katika utoaji huduma
Apr 07, 2020 10:27Takwimu za majimbo mbali mbali nchini Marekani zinaonyesha kuwa jamii za raia weusi wenye asili ya Afrika ndizo zinazoathiriwa kwa wingi na maambukizo ya virusi vya corona.
-
Mgogoro wa corona umedhihirisha kuwa US haiwezi hata kujiongoza yenyewe
Apr 07, 2020 03:04Msaidizi Maalumu wa Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa amesema mgogoro wa ugonjwa wa Covid-19 (corona) umeudhihirishia ulimwengu kuwa, utawala wa kibeberu wa Marekani ambao unajiona kuwa kiongozi na mtawala wa dunia umeshindwa hata kujiongoza wenyewe.
-
Hitilafu za Russia na Saudia kuhusiana na bidhaa ya mafuta zaahirisha mkutano wa OPEC+
Apr 06, 2020 01:31Vita vya bei ya mafuta baina ya Russia na Saudi Arabia vilivyoanza baada ya kufeli mkutano wa mwanzoni mwa mwezi Machi uliopita wa OPEC+ mjini Vienna vimesababisha kuporomoka kwa bei ya bidhaa hiyo kwa kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa katika kipini cha miaka 18 iliyopita.
-
Harakati ya Asa'ib Ahl al-Haq yatahadharisha juu ya malengo ya Marekani ya kubakia kwa muda mrefu nchini Iraq
Apr 05, 2020 22:03Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa wa Harakati ya Asa'ib Ahl al-Haq ya nchini Iraq ametahadharisha juu ya mipango ya Marekani ya kutaka kubakia kwa muda mrefu nchini humo.
-
Kissinger: Virusi vya corona vitabadili mfumo wa dunia, serikali ya Trump haina mwelekeo wala sifa
Apr 05, 2020 07:19Waziri wa zamani wa Marekani, Henry Kissinger, amesema katika makala yake iliyochapishwa kwenye gazeti la The Wall Street Journal kwamba, mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona utabadilisha mfumo wa dunia milele.
-
Trump awataka Wamarekani wajiandae kwa 'vifo vingi' vya corona
Apr 05, 2020 03:33Rais Donald Trump wa Marekani ameonya kuwa, taifa hilo litashuhudia vifo vingi vya ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona ndani ya wiki mbili zijazo, huku nchi hiyo ikiendelea kuongoza kwa idadi ya watu walioambukizwa virusi hivyo duniani.
-
Maambukizi ya corona na kutoweka kwa maadili ya kibinadamu katika nchi za Magharibi
Apr 04, 2020 06:56Baada ya mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona katika pembe mbalimbali za dunia hivi sasa Magharibi hususan nchi za Ulaya na Marekani zimekuwa kitovu kikuu cha maambukizi ya virusi hivyo.
-
Kuendelea uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Sudan
Apr 04, 2020 02:43Uingiliaji wa Marekani katika nchi za Afrika kwa njia ya moja kwa moja na isiyo ya moja kwa moja, ungali unaendelea.
-
Madai ya uongo ya Trump kuwa eti Iran haijaomba kupunguziwa vikwazo
Apr 03, 2020 23:43Baada ya kujitoa bila ya sababu katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei 2018 serikali ya Donald Trump huko Marekani iliirejeshea Iran vikwazo vyote vilivyokuwa vimeondolewa baada ya kufikiwa makubaliano hayo, bali iiiwekea Tehran vikwazo vya kiwango cha juu kabisa kama anavyojitapa mara kwa mara Donald Trump.